Ilisha wahi kutokea hata mimi ,Nimekubaliana na binti ( Police ) Kutoka Kagera hado Arusha , nilipofika tu binti akaja cha kushangaza Akawa bize zaidi na simu nasisi ilikuwa tukaongee zaidi tunatengeneze mahusiono gani ,, ila mimi nilimwambia ninahitaji sana tunda b4 sijaanza safari ,Kukaa kidogo nikawambia tukale,akakataa,,he ! Tulale basi coz jioni alikuwa zamu ,,Hayumo, duu nikaona anaondoka kabisa,,duu nikaenda kwenye kioo nikajiangalia labda Leo nimebadirika sana ,,ilikuwa kipindi cha laki sio pesa million pocket money ,Nikanunua simu nzuri na Gauni zuri pink,,Nikasema isiwe tabu ,,Nikayaacha pale lodge ,nikatafta binti mwingine Aliitwa Eliza Nikalala nae usiku huo maana mimi pombe huwa sinywi ,, kesho asubuhi nikamwachia Elf 50 maana hskutaja kiwango cha usiku mzima,, kesho yake nikamwachia mhudumu kuwa ataijia binti mizigo yake hiyo nitarudi tena,nikapiga simu nikamwambia narudi nyumbani nimepigiwa simu gafla kikazi so kuna mizigo yako hapo lodge kachukue Duu arishangaa sana ,,Hicho kitu mpaka Leo huwa hanisahau kabisa ,Ila its tuu late ,Nimeshapata mwingine , alikuja mpaka huku akamuona mwenyewe hafki ,Alichosema kwa kweli huyu ndo mke wako anae kufa aa nawatakieni maisha mema mi ningekusumbua japo ulinipenda sana,,Why this story Kuna vitu vingine sio amri au kanuni ,,Kama wapi utampata Mme au lini mtaanza Mapenzi, et siku ya kufanya sex ndo inadetermine kuwa huu uhusiono utadumu ,,Kitu kingine Misimamo ya kutesana sio mizuri fikilia hata kama ungelikuwa wewe ,Umemfuata boy friend wako kwake unahamu kabisa ya kuduu ,Umkute na wenzake geto wapo bize tu wakati ulipiga simu na ukamweleza nakuja kwa ajiri ya kufanya hiki ,,Maana kama kuongea hata kwenye simu mngeyaongea tu yakaisha but alitaka body talk zaidi ,Je aone na wwe uone ,ndo mjadli kuhusu hatima ya mahusiono,,