Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 779
Mkuu yaani utakuta ata rafiki yake tanya ndo alienda lala na jamaaUnamtongoza mzuri kuliko wote
halafu wale wabaya ndo wana amua....
yule mzuri kazi yake ni kushikiwa tu akili
Teh teh
Mkuu yaani utakuta ata rafiki yake tanya ndo alienda lala na jamaaUnamtongoza mzuri kuliko wote
halafu wale wabaya ndo wana amua....
yule mzuri kazi yake ni kushikiwa tu akili
'Wale wabaya'Unamtongoza mzuri kuliko wote
halafu wale wabaya ndo wana amua....
yule mzuri kazi yake ni kushikiwa tu akili
Mkuu yaani utakuta ata rafiki yake tanya ndo alienda lala na jamaa
Teh teh
Karibu mkuu ila ndo ukweliHahaaaa! Hii coment yako imenichekesha!
'Wale wabaya'
Mie nikikupenda watakujua tayari ukiwa shemeji yao, hapo sitaki maoni. Ila mwenzangu na mieWewe hawakukushikia akili?

Kweli mkuu yani jamaa hapa hajazira ila kabadili gia anganiAu wana chat sasa na atamfata Dar
Mie nikikupenda watakujua tayari ukiwa shemeji yao, hapo sitaki maoni. Ila mwenzangu na mie![]()
![]()
![]()
![]()
Nikuunga mkono. Aachane nae. Huyo sio future husband, mtu anasusa kisa hukulala nae. Alafu mbaya zaidi ndo siku ya kwanza mmekutana toka muanze mahusiano.Dont regret,likuepukalo lina heri nawe,alitaka kufidia nauli yake ya ndege kwa kukuvuruga usiku chuka,kuondoka ni kipimo tosha,akirudi ni wako,asiporudi he was never meant to be!katika kudo lazima kuwe na makubaliano sio tunavyotaka sisi,alikuwa anajua hubleed?hakuwa na nia nzuri,let him **** off and go screw his sisters!u r a decent lady and u deserve someone caring and adorable!njoo kwangu me sitakusumbua hata ukisema tusido milele!hahahah just kidding mkuu lakini muache akafie mbele!
Hahahaaaa! Mweeeh!'Ukinipenda'
haya nasubiri
Mkuu ghost ila unajua go and return dar mbeya inagharimu kias gani cha pesa ya madafu?Nikuunga mkono. Aachane nae. Huyo sio future husband, mtu anasusa kisa hukulala nae. Alafu mbaya zaidi ndo siku ya kwanza mmekutana toka muanze mahusiano.
Mi nipe ahadi ya sex until marriage, nitakubali kama nakupenda. Ila kama sikupendi, nitamind tu. So huyo mpitaji.
-callmeGhost
Sasa mpaka umeweza kutoa hiyo hela na haujui kama issue itatick utakuwa mjinga.Mkuu ghost ila unajua go and return dar mbeya inagharimu kias gani cha pesa ya madafu?
ha ha haahahh kwahyo angekua peke yake ili aliwe auHii inaitwa mbwa kala mbwa
Afu outing kama hizo unaenda na rafiki ako wa nini???????
Ukienda Dar tu umekwisha.
Ila sasa Bibie kwel na kabard kale ka mbeya kwel unamuacha alale mwenyewee




Tanya hebu nenda na wakati
Wanaume wa kupanda ndege dar to mbeya kuja tuu kuongea bila kula papuchi last seen yao ilikua kipindi cha kina Nuhu
