James Ciroc
Member
- Oct 13, 2016
- 34
- 10
Hii inaitwa mbwa kala mbwa
Afu outing kama hizo unaenda na rafiki ako wa nini???????
aaahhh fact mzee
Hii inaitwa mbwa kala mbwa
Afu outing kama hizo unaenda na rafiki ako wa nini???????
Naamin mpaka hapo we si bikra, we ungeendelea tu kubet kama ulivyofanya kwa wengine. Unaona sasa unaanza kujuta kwa kitu ambacho hamtumii EFD machine.Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
Umeona enhee ndio nnachokupendea mwenzie kala fastjet af anakatisha patupuha ha hahha na baridi la mbeya ningekuonea huruma tu ningekupa
ha ha haNaamin mpaka hapo we si bikra, we ungeendelea tu kubet kama ulivyofanya kwa wengine. Unaona sasa unaanza kujuta kwa kitu ambacho hamtumii EFD machine.
Yeah, si bora mtu angeenda mwanza akarudi na sato kuliko mbeya kaambulia baridi.wewe kiboko arudishiwe na nauli![]()
ningekuonea huruma nauli yako na baridi la mbeya piaUmeona enhee ndio nnachokupendea mwenzie kala fastjet af anakatisha patupu

ha ha haah yaan ww unaonekana ungedai kabisaYeah, si bora mtu angeenda mwanza akarudi na sato kuliko mbeya kaambulia baridi.
Nyie nao wadada mnapishana na bahati, mwanaume mwenyewe wa dar asingezid bao 2.
Shauri yake huyo mdada aeendelee kupigwa shombo za wasafa na wanyaki wenzie.
Sema jamaa alibugi, ange act hali ya hewa inamsumbua akamwagiza mwenyeji wake akamchukulie dawa then fasta achukue no ya shosti ake. Ile anazingua tu, angeona mashoti walivyo na huruma. Asingelala kavu.dawa yenu kuja na rafiki kama hivyo
Aiseee umenigusa uvungu wa moyo wangu. Hata niwe mvumilivu kiasi gani siwezi kwea pipa halafu nilale peke yangu. Istoshe Mbeya na baridi lileTanya hebu nenda na wakati
Wanaume wa kupanda ndege dar to mbeya kuja tuu kuongea bila kula papuchi last seen yao ilikua kipindi cha kina Nuhu
Me nilishapiga mtu na breed yake, sipendagi ujin***ha ha haah yaan ww unaonekana ungedai kabisa
Ha ha ha ha hayo ndio manenoningekuonea huruma nauli yako na baridi la mbeya pia![]()

Sema jamaa alibugi, ange act hali ya hewa inamsumbua akamwagiza mwenyeji wake akamchukulie dawa then fasta achukue no ya shosti ake. Ile anazingua tu, angeona mashoti walivyo na huruma. Asingelala kavu.

aiseee sasa kuna raha ganMe nilishapiga mtu na breed yake, sipendagi ujin***
Sasa anatest vipi kama unamfaa au la? Hayo mambo ya kubana ya mwaka 47Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
Kama anambikiri mtu akiona zile damuaiseee sasa kuna raha gan