Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Sasa unawezaje kwenda na rafiki yako na anakaa muda wote huo. Hata mimi siku ya pili nageuza dar. Kama una malengo tuje tupange, unataka tupange na rafiki yako yupo?
 
Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
HUNA CHA KUJUTA ,KIKUBWA NI KUMSHUKURU MUNGU INGAWA INATEGEMEA MAZINGIRA YENU YA KUKUTANA NAMNA MLIVYOKUWA MNACHAT MLIAMSHANA HISIA KWA KUONESHANA MLIVYO NA HAMU YA KUMKIS NA KUMDO MWENZAKO? AU MLIAANDAANA KWA UCHUMBA KIHESHIMA HESHIMA ,VP NAMNA MNAVYOITANA ZAIDI YA YOTE KAMA ULIKUWA UNATAFUTA WA KUKUOA HUYO HAKUFAI MAANA HAJALI KUWA UNA WAZAI AU BVP PIA KUPANDA NDEGE SIO ISSUE COZ NI ISSUE YA HELA TU AMBAZO ALIKUWA NAZO AU ANAZO MAPENZI YA KWELI ANGEKUJA KWA KUTOIL INANIKUMBUSHA MIMI NA MAREHEMU MCHUMBA WANGU WAKATI AKISOMA MWANZA NILIKUWA NATOKA ARS TO MWNZ LAKINI NIKIFIKA HOTEL NALALA MWENYEWE SIKU TANO MPAKA WK NILIKUWA NAUMIA LAKINI NILIMHESHIM KWA VILE NAPENDA NA ZAIDI NILIMPA THAMANI ZAIDI KWA YOTE ...BT MASKINI AMEKUFA NA BIKRA YAKE .RIP
KIUFUPI DADA YANGU USIJUTE KWA HILO COZ HAKUPEND HUYO ..NIKIWA NA MUDA MWINGINE NITAKUPM KWA PERSONAL USHAURI AMBAO HAUFAI KUANIKWA
 
Daaah huyu dada sijui ni mwanachuo? Akili za tamthilia hizi.....inaonyesha tu hukua serious unaendaje na rafiki yako ukakaa nae mpaka saa tatu mnakaziana macho tu mwenzio kakufungia safari kuja kwako afu we unaleta mambo ya fomu one....ningekua mimi hapo nakuacha wewe naanza deal na huyo rafiki yako maana wewe umeshindwa kujielewa....Anyway msubiri atarudi tena usijali mwanamke si uko peke yako.
 
Kwa akili yako unaona uko sawa kwa ulichofanya..! Ungekuwa na understanding nzuri ungetakiwa kuwa na faragha ya kuongea mambo yenu..! Sex siyo mpaka jamaa aingize kumwachia akutekenye na mabusu motomoto yange kuwa mwanzo mzuri wa safari yenu.

Unajifanya unaelewa sana kumzidi jamaa ngoja akunyooshe pia possible ujielewi kiasi fulani.
 
HUNA CHA KUJUTA ,KIKUBWA NI KUMSHUKURU MUNGU INGAWA INATEGEMEA MAZINGIRA YENU YA KUKUTANA NAMNA MLIVYOKUWA MNACHAT MLIAMSHANA HISIA KWA KUONESHANA MLIVYO NA HAMU YA KUMKIS NA KUMDO MWENZAKO? AU MLIAANDAANA KWA UCHUMBA KIHESHIMA HESHIMA ,VP NAMNA MNAVYOITANA ZAIDI YA YOTE KAMA ULIKUWA UNATAFUTA WA KUKUOA HUYO HAKUFAI MAANA HAJALI KUWA UNA WAZAI AU BVP PIA KUPANDA NDEGE SIO ISSUE COZ NI ISSUE YA HELA TU AMBAZO ALIKUWA NAZO AU ANAZO MAPENZI YA KWELI ANGEKUJA KWA KUTOIL INANIKUMBUSHA MIMI NA MAREHEMU MCHUMBA WANGU WAKATI AKISOMA MWANZA NILIKUWA NATOKA ARS TO MWNZ LAKINI NIKIFIKA HOTEL NALALA MWENYEWE SIKU TANO MPAKA WK NILIKUWA NAUMIA LAKINI NILIMHESHIM KWA VILE NAPENDA NA ZAIDI NILIMPA THAMANI ZAIDI KWA YOTE ...BT MASKINI AMEKUFA NA BIKRA YAKE .RIP
KIUFUPI DADA YANGU USIJUTE KWA HILO COZ HAKUPEND HUYO ..NIKIWA NA MUDA MWINGINE NITAKUPM KWA PERSONAL USHAURI AMBAO HAUFAI KUANIKWA
Tupe mkasa wa mapenzi yenu na marehemu mchumba wako tunawepata cha kujifunza.(kushea ni kujali)
 
Kwa akili yako unaona uko sawa kwa ulichofanya..! Ungekuwa na understanding nzuri ungetakiwa kuwa na faragha ya kuongea mambo yenu..! Sex siyo mpaka jamaa aingize kumwachia akutekenye na mabusu motomoto yange kuwa mwanzo mzuri wa safari yenu.

Unajifanya unaelewa sana kumzidi jamaa ngoja akunyooshe pia possible ujielewi kiasi fulani.
Sure mkuu, kama angeenda peke yake wangeweza kuongea tu wakawa elewana hata jamaa pengine asingekuwa na king'ang'anizi cha sex.

Mara nyingi wanaume wenye akili huwa wanamsoma mtu kutokana na jinsi anavyoongea lkn pia ht anavyobehave on the first Day.
 
Kwa akili yako unaona uko sawa kwa ulichofanya..! Ungekuwa na understanding nzuri ungetakiwa kuwa na faragha ya kuongea mambo yenu..! Sex siyo mpaka jamaa aingize kumwachia akutekenye na mabusu motomoto yange kuwa mwanzo mzuri wa safari yenu.

Unajifanya unaelewa sana kumzidi jamaa ngoja akunyooshe pia possible ujielewi kiasi fulani.
Jamaa keshakwea pipa kaenda kwa goma lake la SAUT mwanza aliliweka kwenye queue nahivi anempenda kamzingua wacha tu apunguze stress huko
 
Hivi hizi pesa za kuchezea mnazipata wapi? Pipa mpaka Mbeya halafu unanuna kijinga jinga
 
Kibaya zaidi anaweza kuja na rafiki kimbelembele mjuaji..
rafiki anaemshikia akili

yeye kakupenda but rafiki yake akikuponda tu baasi...
Mkuu hili na janga la dada zetu yani, wakiwa marafiki watatu ukimtongoza mmoja mpaka wajadili wote wakufanyie vetting yani kama unatongoza kikundi cha kikoba
 
Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
Dont regret,likuepukalo lina heri nawe,alitaka kufidia nauli yake ya ndege kwa kukuvuruga usiku chuka,kuondoka ni kipimo tosha,akirudi ni wako,asiporudi he was never meant to be!katika kudo lazima kuwe na makubaliano sio tunavyotaka sisi,alikuwa anajua hubleed?hakuwa na nia nzuri,let him *** off and go screw his sisters!u r a decent lady and u deserve someone caring and adorable!njoo kwangu me sitakusumbua hata ukisema tusido milele!hahahah just kidding mkuu lakini muache akafie mbele!
 
Back
Top Bottom