Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Icho kitu ndio uwa kinaniboa kwa wanawake wengi unamwambia njoo tukutane au njoo nikuone,then unamsikia ntakuja na rafiki yangu,hakuna kitu nachochukia kama hiki.
iyo ndio dawa yenu hakuna kuliwa
 
afie mbele huko wanaume ni vitombi tu utatombwa na wangapi? kama hataki muelewane akuache tu
mimi nishaweka nukta sitombwi tena kama mtu hawezi kuwa na urafiki na mimi wa kawaida asepe tu nitatombwa nikitakla na sio mtu anipangie
duuu ni hatari sana ulivoandika napata shida kuelewa kama kweli umeandika ukiwa vizuri kiakili au stress za kut...m...bw..a sana.
 
afie mbele huko wanaume ni vitombi tu utatomvbwa na wangapi? kama hataki muelewane akuache tu
mimi nishaweka nukta sitombwi tena kama mtu hawezi kuwa na urafiki na mimi wa kawaida asepe tu nitatombwa nikitakla na sio mtu anipangie
Miss natafuta umenichekesha sana, vipi mkuu unapiga savanna ya ngap hapo?
 
hawa wanaume hawapo serias ujue sasa mtu siku hyohyo akutombe jamani hapo utafaidi nini? kama alikuwa anataka papuchi angesema mapema ambiwe za kuzifata !huyu mdada namshangaa roho inamuuma nini wakati Mungu kamuonesha tu mapema huyu sio mtu wa future ni kitombi tu kama wengine
uyo dada kinachomuuma inaonyesha ameshampenda jamaa na jamaa kasusa
 
huo ndo ukweli na lazima tuwaambie kwa herufi kubwa.huwezi kumuona mtu siku ya kwanza eti umtombe kisa mahusiano.huyo jamaa hafai kabisa tena asitupotezee muda hapa
Duu, straight to the point. Kama alikuwa hatak kukunjwa basi angemlipia flight ya kurudi. Mtu kagharamia pussy halafu aikose, ndo maana jamaa kaona wagawane hasara kwa style hiyo.
 
Duu, straight to the point. Kama alikuwa hatak kukunjwa basi angemlipia flight ya kurudi. Mtu kagharamia pussy halafu aikose, ndo maana jamaa kaona wagawane hasara kwa style hiyo.
wewe kiboko arudishiwe na nauli
 
Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
Katika hali ya kawaida tu jiulize. Mtu anafunga safari toka dar hadi mbeya na anaahidi kukaa hadi jumapili kisa sex tu? Unadhani dsm hakuna wanawake warembo and sexy kuliko wewe?
Hivi, kama kakufuata wewe mbeya, rafiki yako wa kazi gani? Elewa kwanza kosa kubwa ulilofanyabla kwanza ni kuja na rafiki na kukaa naye hadi saa tatu usiku. Kitendo hicho kimesababisha tatizo la upweke na msongo wa mawazo kwa mwanaume kwani alihitaji ukaribu na wewe. Jaribu kufikiri tu, mfano ungeaga nyumbani kuwa utachelewa kurudi, then unaenda kumpokea mwenyewe, mnakaa pamoja unampa nafasi ya kumsikiliza, naye anakusikiliza, mnakiss, na maneno matamu kisha kwa unyenyekevu unamuomba kuwa ukalale home then kama mngelazimika kufanya sex iwe hata kesho. Unadhani angekasirika? Elewa kuwa kitendo ulichomuonesha ni dalili mbaya kuwa haukuwa serious na mahusiano maana mapenzi ni yenu wawili na urafiki ni jambo lingine. Pili, fahamu kuwa wanaume wengi eana maamuzi ya haraka hivyo huenda baada ya ku-behave vile alishakufanyia judgement kuwa wewe huna sifa za mwanamke anayejali hivyo ni wajibi wako kumprove wrobg na si kutaka kuhalalisha ujinga uliomfanyia ili umuache kwa ushauri wa jf members. Mwanamke mwenye hekima na mwenye kujali angeomba msamaha na kunyenyekea kisha akikuzingua na wewe ndo unazingua. Maana wakati mwingine unaweza kuacha almasi huku ukiwa busy kuokota mawe. Jaribu kujishusha haitakutoboa macho bali mata nyingi huwa ni njia ya kudumisha mahusiano. Otherwise, nakutakia maisha mema.
 
Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
Hakuna mtu hapo na ungempa tu ndio ilikua safar
 
Back
Top Bottom