Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Ndo tatizo la kuchagua wanaume wenye pesa ,,cku nyingine muwe mnatupa nafasi za upendeleo hata cc makapuku,,maana kama ningezila lazma ungenimamatia stand ya mabasi,,sasa hao wa ndege tena !!!labda uwe na namba ya rubani!!!!!!
 
afie mbele huko wanaume ni vitombi tu utatombwa na wangapi? kama hataki muelewane akuache tu
mimi nishaweka nukta sitombwi tena kama mtu hawezi kuwa na urafiki na mimi wa kawaida asepe tu nitatombwa nikitakla na sio mtu anipangie
Hahhahahaha ucje ongea ivyo mbele ya wanaume wakakusikia maana sio watu wa sport sport,,,iyo cku ambayo utajisikia kuachia papuchi ndo cku ambayo utapigwa mande...!!! Tena nyie mnaojifanyaga mnamsimamo ndo tunawatafutaga kweli ili mkatoe ushuhuda kuwa mwanaume akitaka kukufanyia unyama anakufanyia any time..
 
huo ndo ukweli na lazima tuwaambie kwa herufi kubwa.huwezi kumuona mtu siku ya kwanza eti umtombe kisa mahusiano.huyo jamaa hafai kabisa tena asitupotezee muda hapa
Uyu jamaa aliboreka na tabia za rafiki wa jamaa, mbn kusafiri na kulala peke etu kawaida esp gal ambae bado yuko kwa wazazi apart from dat alishapewa ahadi ya kesho yake so angevumilia kidogo huyu unaemtetea alikuwa anapigwa mudanda tu. All in all bado jamaa akuonesha ukomavu esp kama una nia na mtu.....
 
First suala sex na mahusiano ni kila mtu na mtazamo wake
wapo ambao sex ni sehemu muhimu tu ya kujuana na kuimarisha uhusiano
wapo wengine sex lazima isubiri kwanza wafahamiane vizuri

Ulipaswa kumwambia kabla hata hajasafiri kuja kuwa akija hamta sex
ili ajue na aamue kuja au asije...

La pili ulikosea sana kwenda na rafiki yako ukakaa nae masaa matatu kiasi wewe na mtu wako mkashindwa
kuongea yenu na kuzoeana na kufahamiana na kuelewana

yawezekana jamaa alijikuta tu 'ameboreka' na kila kitu
Hilo ndyo jibu sahihi we utakaaje na rafiki yako masaa yote hayo
 
My take...... alivyokuona Badoo/Facebook ni tofauti na mlipokutana live... hizi camera 360 ziondoa mabonde/chunusi/madoa + zinasoftisha kweli kweli, lakini inaonekana una mvuto haswa mpaka umefanya jamaa kukupandia Q400

Ushauri
_________
Usilazimishe mapenzi, inawezekana alichokiona sio alichokitarajia. Kuja na rafiki yako/kumnyima mchezo ni km kapata pa kuanzia.
 
Thanks atoto ni typo hiyo. Neno sahihi ni yenu badala ya yetu. Ukija na kijiji njemba inakukodolea mimacho kama haikujui vile, aibu yote kwa atoto na wanakijiji aliowabeba.
Aibu ya nini sasa! Ukibeba kijiji mnakwenda mmejipanga, akisepa mnaendelea na mambo yenu, akijitutumua basi tena ndio raha.
Ni njia nzuri ya kumuondoa king'ang'anizi, kama ile tu ya kuomba hela asubuhi mchana jioni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aiseee! Kwahiyo kama sio bikra tena basi inatakiwa ukiachie tu kisa mwanzo ulikiachia tu!!!!!
kitendo cha kumkubalia aje tayar alikuwa tayar kuachia....sasa pimapima imekuwa stress to her.kitendo cha kutolewa bikra before marriage tayar tushakiuka amri ya Mungu.....hata tujifanye watakatifu vipi we are nothing kiamri.
 
kitendo cha kumkubalia aje tayar alikuwa tayar kuachia....sasa pimapima imekuwa stress to her.kitendo cha kutolewa bikra before marriage tayar tushakiuka amri ya Mungu.....hata tujifanye watakatifu vipi we are nothing kiamri.
Kwahiyo huwezi kutubu na kuweka mipaka? Hiyo 'we are nothing to Him' duuuuh!!!
Unamaanisha mtu akishatenda dhambi basi na aendelee tu kutenda maana hakuna namna nyingine!!!

Yawezekana pia walikuwa hawajakubaliana kuhusu suala hilo ndio maana bibie alisita, hawa wenzetu kwenye hili suala huwa kuheshimu makubaliano ni ngumu sana.
 
Sasa wewe mmekubaliana mkapange mikakati, wewe unaenda na rafiki yako. Hapo ndio ulijishushia sana marks. Mapenzi ni ya wawili kitendo ulichofanya huwa kinafanywa na malaya kwa ajili ya kumchuna tu mwanaume.
Muombe msamaha
 
since u regret nenda kwake and repent.... next time nenda pke ako ... dinner inapaswa kwenda wapenzi tu not and friendc thatc y we call it a date... yy mwenyew jamaa was feeling awkward ndo man he never talked about anything... besides the best moment to speak about love lyf na mpnz wako mara nying itc after sex coz itc prominently the tym mnakua in romantic mood both..
 
ulimwaga ugali yy kamwaga mboga.... yaan u made him take a chopper and unakaa kmya mda wote huo then u ignore his simple request??
 
We ni mtu mzima au ni under 18? Ulienda na rafkio ili iweje kwa mfano?! Ulihic utabakwa au?! Yawezekana ht mwenzio alishindwa kuzungumza kuhusu ht hilo jambo lake kisa shoga ako!.. Inafika muda mtu unatakiwa kukua. Siyo kufanya mambo km m'funzi wa secondary
 
Na kama kaondoka kweli basi achana nae kakuepushia jambo, hana nia nzuri na wewe. Maana km mtu kakuelewa vya kutosha hawezi kuzira kwa mambo ya kitoto km hayo
 
Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
We mtoto wa kiume una laana, kuna posts zako humu zimejaa laana tupu;
2013
uliolewa na golkipa
2014
mumeo alishindwa kukufikisha kileleni
Ukachepuka ukapata raha kwelix2!
2015
Ulizaa mwanao akaugua tezi
Ukaenda kutupa shilingi njia panda alapona
2016
Ziwa/titi moja likalaa kama ndalla
Leo umempata mchumba toka Dar
2017
Utatangaza wewe ni mwenyekiti wa mashoga,
Time will tell...
 
Back
Top Bottom