Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

Bujibuji, naona fahari mke wangu kujua user name yangu kwenye social network zote, tena na password zangu zote.
Mpende mkeo, kuwa muaminifu
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
 
Nyie mnaojifanya kumshangaa kwamba anataka kubadili ninyi kwa nini hamkuweka majina yenu ya ukweli, binafsi namshauri abadilishe.
 
Kwa nini unaogopa kivuli cha mkeo?

Basically si kwamba naogopa kivuli cha mke wangu!! But I don feel free, for her to see some of my opinions in JF. I share most of the things with her. Lakini kwa hili, ninakuwa na restrictions kutoa some opinions. I mean, kila nitakachotaka kuandika nitakuwa najaribu kuassess implication yake yeye akijua. So this is actually what i dont like!!.
 
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
HEBU ACHA KUTUFANYA MAZUZU WEWEEE. KWA HIYO HII POST/THREAD ULOIANZISHA HAIONII EEEENH!?
AU UNAHOFIA ATAKUWA ANAONA UTUMBO UNAOUCHANGIA SO AKAJIPIGIA MISTARI KWAMBA MMEWE NI ZUMBUKUKU
Fanya umpe na password kabisa mzazi mwenzio huyooo....
 
Hakikisha na jina lako la shule/kikazi hajui. ..
Maisha bila kujulikana YANAWEZEKANA.
 
Mkiombwa ushauri mjaribu kusaidia kadiri sio mnaanza kuhoji bila kutoa msaada. Swali ni je anaweza kubadilisha user name?
 
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.

Ina maana mnatumiaga majina ya uongo?!
 
Kama unaandika mambo ya kipuuzi utakua kwenye matatizo, vinginevyo hamna tabu. Mwombe na yeye akupe id yake ujue na yeye huwa anapost nini
 
Nimetumia user name nyingine, hata ukiangalia inaonesha bado ni Junior member, but mimi ni Nguli Hapa JF wa Kuanzia Mwaka 2008. Na nisingependa niachane na Hiyo status niliyofikia.

Mimi watoto wangu wa primary wameshajua ID yangu pia kijana wangu anayesoma Chuo ambaye naye ni member wa JF anaijua ID yangu ila walinivizia hadi wakaiona na nimeamua kuacha ilivyo ila nakuwa na descipline na posting zangu wasije wakasema dingi gani hana adabu
 
Stl cant get the stor, ka mkeo ataweza sema unayoyafaya JF bas hata ya chumban atakuwa anayasema. U nid to trust ur wife.
 
Basically si kwamba naogopa kivuli cha mke wangu!! But I don feel free, for her to see some of my opinions in JF. I share most of the things with her. Lakini kwa hili, ninakuwa na restrictions kutoa some opinions. I mean, kila nitakachotaka kuandika nitakuwa najaribu kuassess implication yake yeye akijua. So this is actually what i dont like!!.

Ndo uwe na heshima sasa na ujue kupost vya maana! Bado na wale ambao huwa wanapost as if wako na wanyama porini bana.....khaa!!
 
Wenzako tunashare hadi mawazo humu ndani na mama watoto wewe unawaza mkeo kujua id yako.Mimi nimefurahi mkeo kuiona hiyo id ili kama ni mtu wa matusi naona sasa yatapungua.Safi sana mama yeyooo angalia hii muzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom