cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,722
- 137,470
Hatujakataaa kuhus hilo, wengine hawana kazi ya mshahara na wana familia na maisha yanaenda as usual.Mi sishangai kwasababu nimeona watu wanalipwa 40000 kwa mwezi na ana familia sasa piga hesabu huyu mtu anaishi vipi.
Ila shopping ya 90k watu wa 3, msimu wa skukuu af n kkoo, mmmh