Msaada: Mgogoro best yangu na mke wake

Bajeti.
1. Watoto
mashati mawili ya mitumba elfu @ 2500 hiyo elfu 5000.

Suruali mbili za mitumba @ 3000 hiyo elfu 6000.

Viatu vya kichina elfu tatutatu hiyo elfu 6000. Soksi tutanunua February wavae za shule.

Mama chupi ya mtumba mia 800
Dela la chrismas elfu 8000
Gauni la mwaka mpya ananunua kitenge cha elfu 8000 anakuja kushona gauni hapa mtaani kwa elfu 10000 hiyo elfu 18 000.

Mimi ananinunulia shati lile la kun'gaa sikuhizi yameshuka bei 6500.

Jumla 51 000

Nauli elfu 3000 kwenda na kurudi.

Jumla 54000.

Change 36000. Hii inaingia kwenye bajeti ya vyakula.
😂😂😂😂
 
Kwa mtu mwingine atatafsiri ni dharau

Ukweli tunaotakiwa kuangalia ni kwamba uwezo unatofautiana
Hata km tuna angalia na ratio ya bidhaa husika na kwa wakati upi. Haijalish ktk hali ya maskin wala tajiri.
 
Jamaa yako ni aina ya jon alcohol

Aina ya wanaume ambao mpaka mwanamke atoe chozi la damu ndo ajue kaumia

Alafu elfu 90,000 ?? Kariakoo, msimu huu wa sikukuuu ??

Mie naona dem katumia akili tu, ili jamaa ampe hela ingine ,arudi sasa akaongezee ya awali anunue.
Genius
 
Akague maeneo muhm Kama Yuko salama mana wabongo c wazri waweza kuwa wamegegeda aangalie vzr
 
Back
Top Bottom