Amemnyang'anya kila kitu mwanamke wake na kumtimua

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mulibwanji? Kuna jamaa yangu alikuwa anaishi na mdada mmoja wa kinyiramba alimtoa bush uko, sa alipomfkisha town yule mdada akamwambia anataka kujifunza kushona, jamaa akasema poa akamtafutia mahali akawa analipa elf 30 kwa mwezi na material ya kushona kwa wk 12,000.

Jamaa inaonekana amempenda sn yule mdada na mdada akajua kweli anapendwa jamaa hapindui, mnyiramba kaanza ubabaishaji wakpshana kdogo tu na mshkaji mdada anatshia kurudi kwao kwa mujbu wa jamaa yng iyo imekuwa tabia iliyokubuhu ya uyo mwanamke wake na jamaa amekuwa akibembeleza yanaisha sasa juzi walipshana kidogo mdada akatishia kwenda kwao na akawapigia simu kwmb wiki hii anarud mkumbuke jamaa ameshagharamika sana kuhusu huo ushonaji wa uyo mwanamke.

Basi mshkaji akaona isiwe tabu amemruhusu asepe na tiketi kamkatia bt kila kitu ambacho jamaa alitoa pesa yake ktu hcho kikapatikana kwa huyo mwanamke jamaa amesema vyote vitabaki hata kama n chupi ztabaki ye aondoke na alivyokuja navyo.

Je, wadau hapo mshkaji kakosea nn kesho mnyira safari to Iramba.
 
Wewe ushaona wanyiramba wanababaishwa na mali km michupi?! Kwanza hawavai zinawatinga
Na hiyo safari ataenda kushukia mizani kibaha anarudi tena jijini.
Usije kujipiga risasi goma kesho hiyo hiyo linageuza daslama
Hafiki mzani anashukia hapo kibamba tu anageuza na toyo ....watapishana bafuni demu akitokea chumba cha jirani....chezea alizeti wewe 😅😅😅
 
Back
Top Bottom