Msaada mashine ya Car Wash

elvis richard

Senior Member
Dec 6, 2014
195
205
Ndugu zangu wataalamu, nina mpango wa kufungua car wash business sasa nimepata changamoto ya mashine katika ununuzi.

Kuna mashine ya umeme nimekutana nayo dukani haina horse power ila ina 240 voltage, muuzaji kaniambia hizo hazina horse power. Zina kiwango cha voltage tu, na pale kwenye mashine ni kweli haijaandikwa horse power.

Sasa napata shida kujua kama hii mashine iko vizuri kwa upande wa presha yake.

Kwa wenye uzoefu please naomba msaada wenu waungwana.

Ahsanteni
 
Tupe jina na model. Technology inakimbia sana.

Ila ninavyojua, kwenye magari mfano, Tesla haitumii wese ila ina HP.

BTW, umeanza lini kumuamini mfanya biashara.
Hiyo mashine haijaandikwa horse power ila imeandikwa tu kiwango cha umeme ambayo ni 240, sasa nashindwa kujua kama ina nguvu kubwa maana mi pia nimezoea kuona mashine nyingi zimeandikwa horse power labda 3000 na kadhalika. Sasa hii imeniacha kidogo.
 
Umeulizwa model bado umerudia tena maelezo ya awali
 
Hiyo mashine haijaandikwa horse power ila imeandikwa tu kiwango cha umeme ambayo ni 240, sasa nashindwa kujua kama ina nguvu kubwa maana mi pia nimezoea kuona mashine nyingi zimeandikwa horse power labda 3000 na kadhalika. Sasa hii imeniacha kidogo.
HP ni unit to ya power. Inaweza kua wameweka in watts.

Lakini, ata jina la Manufacturer na Model hamna?
 
Unataka kujua horsepower ya nini wakati hiyo ni electrical kama ulivyosema
kama ingekuwa inendeshwa na engine yake ndio ungehitaji kujua horsepower
horsepower ni mechanical power
Kama ni mashine ya kuoshea magari kitu muhimu unahitaji kujua Pressure (N/m, Bar, pound per square inch psi, n.k)

Ungesoma science kama sekondari ya form 4 ingetosha , haya ungekuwa unakokotoa tu kichwani
Voltage=240v
Current = angalia tena label utaona rating ya current in Amp, kwa mfano 13A
Power= V x I = 240 x 13 = 3120 watts
1 watt = 0.00134102 horsepower
3120watts x 0.00134102 = 4hp

Huu ni mfano, sio halisia sababu 13Amp fuse haitakiwi izidi 3000watts, hiyo machine inaweza kuwa inavuta umeme mwingi zaidi ya 13Amp
 
Wape somoo..
 
Manina.....

Naomba uwe shemeji yangu tafadhali......
 
Back
Top Bottom