elvis richard
Senior Member
- Dec 6, 2014
- 195
- 205
Ndugu zangu wataalamu, nina mpango wa kufungua car wash business sasa nimepata changamoto ya mashine katika ununuzi.
Kuna mashine ya umeme nimekutana nayo dukani haina horse power ila ina 240 voltage, muuzaji kaniambia hizo hazina horse power. Zina kiwango cha voltage tu, na pale kwenye mashine ni kweli haijaandikwa horse power.
Sasa napata shida kujua kama hii mashine iko vizuri kwa upande wa presha yake.
Kwa wenye uzoefu please naomba msaada wenu waungwana.
Ahsanteni