NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,423
- 2,414
'Habari zenu wakuu................poleni na mishughuliko ya kutwa nzima ya kujenga taifa letu,kiukweli baada ya kusumbuka na kuhangaika juu ya hii tablet nnayotumia nikasema hapana nimeshindwa acha niitupie jamvini hili tatizo ili lipate ufumbuzi.
Bila ya kupoteza muda ni kwamba nna tablet ambayo nashindwa kuingia PLAY STORE hivyo nashindwa ku-download applications nyingi tu ikiwemo whatsapp hii tablet alikuwa anatumia sister wangu mdogo na wakati anatumia yeye alikuwa anaingia play store na hata whatsapp alikuwa akiitumia kama kawaida ila baada ya kuweka line yangu haifungui GOOGLE PLAY nikifungua napata msg hii hapa AUTHENICATION IS REQUIRED.YOU NEED TO SIGN INTO YOUR GOOGLE ACCOUNT nimejaribu ku-sign kwa account ya zamani ikakataa nikafungua account mpya nikaingia kwenye settings nikakuta account alizokuwa anatumia sister nika-add account new account inasema THIS ACCOUNT nduki@gmail IS NOT AVAILABLE nika-add existing account inaleta msg hii hapa CAN'T ESTABLISH A RELIABLE CONNECTION TO A SERVER.THIS COULD BE A TEMPORARY PROBLEM OR YOUR ANDROID DEVICE MAY NOT BE PROVISION FOR DATA SERVICES.IF IT CONTINUES,CALL CUSTOMER CARE si kwamba hakuna bundle kwenye simu LAA bundle zipo za kutosha na internet napata kwa H na 3G na tablet nnayotumia ni PRESTIGIO ANDROID VERSION 4.0.4 MODEL NUMBER PMP7170B3GCE BASEBAND VERSION MAUI.11AMD.W11.50.SP.V18 KERNEL VERSION 3.0.13 na chip nnayotumia ni ya TIGO WAKUU NAOMBA MSAADA WENU JUU YA HILI,THANKS IN ADVANCE.
chief-mkwawa, Paje, Dreson3, elmagnifico, njunwa wamavoko, WAHEED SUDAY

Last edited by a moderator: