Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Dar es Salaam

Goba ni sehem tulivu ila inategemea shughuli zake anafanyia wapi.
Kama shughuli zake anafanyia maeneo ya kawe,mwenge,makumbusho ni sawa haitamcost sana kwenye ya usafiri.
Lakini pia goba kuna wezi wa kuvunja magrill/madirisha halafu wanazama ndani na kuhamisha vitu vyote vya kubebeka kirahisi mfano Flat tv,subwoofer,radio,pesa,na begi za nguo.
wanakuachia vitanda na makochi.
daaah...!
 
daaah...!
Ndio hvyo mkuu mimi nilijenga maeneo ya kule kabla sijahamia wezi walinilia rada wakavunja dirisha na kuingia ndani walinyofoa nyaya zote za umeme pamoja na milango waliichomoa nikaanza tena upya kuweka wiring.
Lakini wizi wao mara nyingi huwa wanafanya research ni nyumba gani inashinda peke yake mchana au usiku,so ukienda kazini hakikisha kuna watu wengine wanabaki nyumbani au angalau hata housegirl awepo.
 
duh, shukrani kwa tahadhari mkuu
 
pia pole sana mkuu.
 
Kaaa Sinza Kwa usalama wako, huko goba utachinjwa mchana kweupeeee, Sinza Hakuna wizi utarud hata saaa tisa usiku utatembea Kwa mguuu kila mahali taa zinawaka hakuna vibaka na sio uswahilini na kuna raha Sana Sinza kuliko eneo lolote la dar kwa wale wenye starehe za Kati na maisha ya Kati
Very truu,
 
Goba ni sehem tulivu ila inategemea shughuli zake anafanyia wapi.
Kama shughuli zake anafanyia maeneo ya kawe,mwenge,makumbusho ni sawa haitamcost sana kwenye ya usafiri.
Lakini pia goba kuna wezi wa kuvunja magrill/madirisha halafu wanazama ndani na kuhamisha vitu vyote vya kubebeka kirahisi mfano Flat tv,subwoofer,radio,pesa,na begi za nguo.
wanakuachia vitanda na makochi.
Watu 3 ninaowafahamu wamerudi kitaa baada ya kujenga kule na kuhamia, baada ya kuingiliwa ndani na vibaka
 
Kaaa Sinza Kwa usalama wako, huko goba utachinjwa mchana kweupeeee, Sinza Hakuna wizi utarud hata saaa tisa usiku utatembea Kwa mguuu kila mahali taa zinawaka hakuna vibaka na sio uswahilini na kuna raha Sana Sinza kuliko eneo lolote la dar kwa wale wenye starehe za Kati na maisha ya Kati
starehe gani?
 
Back
Top Bottom