Msaada lodge nzuri Morogoro

sehem yyote ukikuta kunatembelewa sana na hizi jamii za wafugaji kaa mbali sana .....niliingiaga gesti apoapo moro inapendwa sana na maasais duuh sijawahi kufikiria kurudi tena
 
Nenda karibu n gereji ya abood kuna lodge mpya nzuri sana nimeisahau jina na kuna watoto wazuri ...i mean wahudumu wazuri wewe tu
 
Neema gest house haina parking mkuu...unapak hapo nje tena ubane balaa maana kuna kona pale
 
Hata bure silali...si hii opp na ukuta w msamv mkuu? Wanajilazaga wasukuma hapo wanaoenda ifakara balaa hahaa nadhan ni 10k
Ifakara kumekucha, hawa na bhanamhala to & from Simiyu na Malinyi na huko Lupiro, Ngeta, Mlimba.
Msimu wa kilimo wapo Morogoro, msimu ukiisha wanaenda kununua ng'ombe na kuoa huko!

Everyday is Saturday................................😎
 
Ila we jamaa wewe...haueleweki...why hauelewek namna hiyo?be specific Moro kuna connection zipi?
Nilikuwa naongea na jamaa tofauti na hii mada ya lodge Morogoro kuna uhuni mwingi starehe ukasema starehe gani Morogoro ipo ukimaanisha zile unazojua wewe


Nikasema I mean connection sasa sio kosa langu mi we kutojua maana ya connection maana hili neno linatumika kupunguza ukali huu msamiati wanatumia sana huku vijana kuna baazi ya uzi hili neno limetumika sana


Okay nikakudadavulia anasa bado tena ukashindwa kuelewa duuh pamoja na kuongea humu ndani huu mkoa walikosea.kuuweka kwenye list ya twakimu za ukimwi kuongoza bado hujajua tulikuwa tunaongea nini na jamaa



Okay simple and clear namaanisha pia Ni miongoni mwa sehemu inayoongoza. Kuwa Na.machimbo.ambapo malaya wanajiuza.hyo ndo maana ya connection


Kuanzia kwenye ma bar ,pub,Hadi ma club.


Acha kujikuta ujuaji mwingi mkuu
 
Ifakara kumekucha, hawa na bhanamhala to & from Simiyu na Malinyi na huko Lupiro, Ngeta, Mlimba.
Msimu wa kilimo wapo Morogoro, msimu ukiisha wanaenda kununua ng'ombe na kuoa huko!

Everyday is Saturday................................😎
Twende mwakani tukalime
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…