Nataka kusitisha FIXED ACCOUNT yangu. Je nitapigwa penalty?

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Posts
982
Reaction score
1,128
Habari wakuu.
Kichwa cha habari chahusika.

Naombeni msaada wenu kujua kama kuna kiasi cha pesa nitakatwa iwapo nitasitisha account yangu ya muda maalum.

Natanguliza shukrani
 
Bank gn? Na fixed ni ya muda gani? Na ina muda gani tangu ufungue mpk kutaka kuivunja? Na ni sababu gani zinakupelekea kutaka kuvunja?
Jee hukusainishwa terms and conditions wakati wanakufungulia? Maana humo ndio huwa wana state kila kitu kinahusiana na mkataba wenu
Mi najua kunakuwa na penalty ila sijui how it works. Na kama kukatwa zitakatwa interests zako na sio principal yako
 
Angel Nylon
 
Mkuu unaweza kunipa riba yao hapo ulipo kwa mtu atakaetupia 5M kwa mwaka?
 
Bank gn? Na fixed ni ya muda gani? Na ina muda gani tangu ufungue mpk kutaka kuivunja? Na ni sababu gani zinakupelekea kutaka kuvunja?
Jee hukusainishwa terms and conditions wakati wanakufungulia? Maana humo ndio huwa wana state kila kitu kinahusiana na mkataba wenu
Mi najua kunakuwa na penalty ila sijui how it works. Na kama kukatwa zitakatwa interests zako na sio principal yako
CRDB.
6Months.
Ina wiki moja.(Daah).

Honestly,huwa nasoma juu juu natia sign.
 
Back
Top Bottom