Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

Mleta mada
Just know real is always real
She fumbled you, alichezea upendo wako for weakness. People like her are vampires, ukimruhusu tu arudi kwenye maisha yako unaanza upya...

Don't ever look back
 
Eeh mzee unajua huo ndio ugumu wa maisha, kila mtu anakuja na style yake. Wee unasema wewe ni standard, basi usije kukaa hard to love kwa sababu ya star sign 😂. Hapo kwenye huba na Asian range, naona unapambana sana, jiwekee poa bana, usijikabidhi kwenye mchezo usio na mwisho. Mwambie yule pole, lakini usijilie ndoto
 
Eeh mzee unajua huo ndio ugumu wa maisha, kila mtu anakuja na style yake. Wee unasema wewe ni standard, basi usije kukaa hard to love kwa sababu ya star sign 😂. Hapo kwenye huba na Asian range, naona unapambana sana, jiwekee poa bana, usijikabidhi kwenye mchezo usio na mwisho. Mwambie yule pole, lakini usijilie ndoto
Ahsante
 
Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!!

Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone,
8 years ago I meet someone sitamtaja ni nan, ila currently she's married and having a kids, leo 03:07 am Asian marketing (I'm a trader by the way) a text message on Facebook pop up, lala ww!! Sikujibu ikaja a video call nikaignore!!
Ikashuka a text, "I miss you, kwann uliniharibu!?"

I freaked out like WTF, she was like I'm... I miss the version of love, you loved me nimekuwa mkimbizi na najiona mjinga nlitoroka kwenye aman nkahamia vitani, I miss movies kwenye projector na sufuria la popcorn nimekaa na ww kwenye zuria nakuona, kuamka weekend nimepikiwa breakfast saa hv nimekaa nasubiri mtu arudi hata cm hapokei na akirudi yuko njwi, 4.6yrs tuliodate hukuwahi kunikosa hata kibao nna makovu napigwa kila uchwao kwann uliniharibu...

Ukandanganya mapenzi kitu kizuri now daily nalia why!!

Mtu kama huyu namjibuje?
Hivi huwa mkiandika kiswahili mchanganyiko na kiingereza kama makande au mseto wa njugumawe na Michele huwa mnamaanisha hamjui kiswahili au kiingereza mkaandika kimojawapo tu ili mtu aelewe?
 
Back
Top Bottom