Je, kwa sayansi ya Tiba ya sasa, Bado ni vigumu kutambua namna Mungu alihamisha uhai wa Yesu wa mbinguni azaliwe na Maria?

joex

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
782
639
Sayansi ya Tiba imepiga hatua kubwa sana.

Kuna Utaalamu unaotumiwa kuwasaidia wanandoa kupata mtoto wao kupitia mwanamke mwingine ambaye anapandikizwa EMBRYO ya wanandoa hao; mwanamke huyo anakuwa ni mbebaji na mlishaji tu, lakini hatachangia chochote kwa mtoto atakaye zaliwa na wala hatafanana naye Kanisa. Mfano kama mwanamke huyo ni MZUNGU wakati WANANDOA WALIKUWA WAAFRIKA, basi mtoto atakuwa Mwaafrika kabisa. Utaalamu huu unaitwa Gestational Surrogacy

Pia Kuna Utaalamu unaoitwa cloning ambao uliisha fanyiwa majaribio kwa wanyama (mfano dolly the sheep) ila kutokana na sababu za kimaadili ulikataliwa kufanyiwa wanadamu. Cloning inaruhusu mtu(awe ni muanamume au mwanamke) kuchukuliwa cells zake na kufanyiwa Utaalamu na baadae kupandikiwa kwa mwanamke ambapo mtoto atakaye zaliwa anakuwa ni mtoto wa mzazi Mmoja tu, yaani yule aliyetoa cells zake. Hapo tena yule mwanamke anatumika kubeba tu yule mtoto.

Sasa Fikiria kile alichoambiwa Bikira Maria na Malaika Gabriel kuwa utapata mimba na kuzaa mwana naye utamwita Yesu Luka 1:32

Luka 1:34 alipouliza "Hilo litawezekanaje kwakuwa sina uhusiano wa kingono na mwanamume?". Malaika akamwambia Luka 1:35 "Roho Takatifu itakuja juu yako na Nguvu za aliye juu zaidi zitakufunika kwa hiyo yule atakayezaliwa ataitwa MTAKATIFU MWANA WA MUNGU"

Kwa hiyo wito wangu kwa wote wasiomwamini Yesu hasa Waislam, ni kuwa mtu huyu kama alivyosema mwenyewe alishuka toka mbinguni, kwa Baba yake na Wala hakuwa na uhusiano wowote wa kibailogia na mariamu na hata na wanadamu wengine. Hii itoshe kuwafungua akili zenu kuyafuata mafundisho yake kama yalivyorekodiwa kwenye Gospel na wala msijidanganye ati sisi tunamwamini Yesu kulingana na Quran.

YULE KWENYE QURAN ni ISSA ambaye sijui ametokea wapi atawapoteza.

Pia mkumbuke ni Yesu ndye aliyepewa Mamlaka yote na Mungu kuhukumu wanadamu na vile vile kuwafufua wafu. Fungueni macho ya akili zenu. Mkumbuke Dunia itakuwa inaadhimisha miaka 2000 ifikapo mwaka 2029 Tangu Yesu kutangaza Rasmi na Mungu kuwa Masihi
 
Screenshot_20230826-004208.png
 
Sayansi haiwezi deal na hadithi za uongo.

Thibitisha Yesu alizaliwa bila mwanaume.

Thibitisha malaika wapo

Thibitisha Mungu yupo.

Ukishafanya hivyo, bhasi utakuwa na haki ya kupeleka hoja yako hii katika sayansi.
 
Soma Luka 1:34
But Mary said to the angel: “How is this to be, since I am not having sexual relations with a man?” 35 In answer the angel said to her: “Holy spirit will come upon you, and power of the Most High will overshadow you. And for that reason the one who is born will be called holy, God’s Son
Iwapo mwanadamu aliyepewa ubongo na Mungu ameweza kuhamisha Uhai wa wanandoa kwenda kwa mwanamke mwingine huoni kuwa hiyo inaweza kuwa rahisi zaidi kwa Mungu huyo kuhamisha Uhai wa Yesu kwenda kwa Maria?

Pia soma Ayubu 2:1-3
Afterward the day came when the sons of the true God entered to take their station before God, and Satan also entered among them to take his station before God . Then Jehovah said to Satan: “Where have you come from?” Satan answered Jehovah: “From roving about on the earth and from walking about in it.” 3 And God said to Satan: “Have you taken note of my servant Job? There is no one like him on the earth
Those sons of God=Angel. Huwezi sema ni wanadamu kwani hapo Shetani anaripoti kuwa ametokea Duniani ambako pia anaishi Ayubu
 
Sayansi ya Tiba imepiga hatua kubwa sana.

Kuna Utaalamu unaotumiwa kuwasaidia wanandoa kupata mtoto wao kupitia mwanamke mwingine ambaye anapandikizwa EMBRYO ya wanandoa hao; mwanamke huyo anakuwa ni mbebaji na mlishaji tu, lakini hatachangia chochote kwa mtoto atakaye zaliwa na wala hatafanana naye Kanisa. Mfano kama mwanamke huyo ni MZUNGU wakati WANANDOA WALIKUWA WAAFRIKA, basi mtoto atakuwa Mwaafrika kabisa. Utaalamu huu unaitwa Gestational Surrogacy

Pia Kuna Utaalamu unaoitwa cloning ambao uliisha fanyiwa majaribio kwa wanyama (mfano dolly the sheep) ila kutokana na sababu za kimaadili ulikataliwa kufanyiwa wanadamu. Cloning inaruhusu mtu(awe ni muanamume au mwanamke) kuchukuliwa cells zake na kufanyiwa Utaalamu na baadae kupandikiwa kwa mwanamke ambapo mtoto atakaye zaliwa anakuwa ni mtoto wa mzazi Mmoja tu, yaani yule aliyetoa cells zake. Hapo tena yule mwanamke anatumika kubeba tu yule mtoto.

Sasa Fikiria kile alichoambiwa Bikira Maria na Malaika Gabriel kuwa utapata mimba na kuzaa mwana naye utamwita Yesu Luka 1:32

Luka 1:34 alipouliza "Hilo litawezekanaje kwakuwa sina uhusiano wa kingono na mwanamume?". Malaika akamwambia Luka 1:35 "Roho Takatifu itakuja juu yako na Nguvu za aliye juu zaidi zitakufunika kwa hiyo yule atakayezaliwa ataitwa MTAKATIFU MWANA WA MUNGU"

Kwa hiyo wito wangu kwa wote wasiomwamini Yesu hasa Waislam, ni kuwa mtu huyu kama alivyosema mwenyewe alishuka toka mbinguni, kwa Baba yake na Wala hakuwa na uhusiano wowote wa kibailogia na mariamu na hata na wanadamu wengine. Hii itoshe kuwafungua akili zenu kuyafuata mafundisho yake kama yalivyorekodiwa kwenye Gospel na wala msijidanganye ati sisi tunamwamini Yesu kulingana na Quran.

YULE KWENYE QURAN ni ISSA ambaye sijui ametokea wapi atawapoteza.

Pia mkumbuke ni Yesu ndye aliyepewa Mamlaka yote na Mungu kuhukumu wanadamu na vile vile kuwafufua wafu. Fungueni macho ya akili zenu. Mkumbuke Dunia itakuwa inaadhimisha miaka 2000 ifikapo mwaka 2029 Tangu Yesu kutangaza Rasmi na Mungu kuwa Masihi
Stori feki hizo.

Baba'ke Yesu ni Zakaria na Kaka'ke Yesu ni Yahya (Yohana).
 
Soma Luka 1:34
But Mary said to the angel: “How is this to be, since I am not having sexual relations with a man?” 35 In answer the angel said to her: “Holy spirit will come upon you, and power of the Most High will overshadow you. And for that reason the one who is born will be called holy, God’s Son
Iwapo mwanadamu aliyepewa ubongo na Mungu ameweza kuhamisha Uhai wa wanandoa kwenda kwa mwanamke mwingine huoni kuwa hiyo inaweza kuwa rahisi zaidi kwa Mungu huyo kuhamisha Uhai wa Yesu kwenda kwa Maria?

Pia soma Ayubu 2:1-3
Afterward the day came when the sons of the true God entered to take their station before God, and Satan also entered among them to take his station before God . Then Jehovah said to Satan: “Where have you come from?” Satan answered Jehovah: “From roving about on the earth and from walking about in it.” 3 And God said to Satan: “Have you taken note of my servant Job? There is no one like him on the earth
Those sons of God=Angel. Huwezi sema ni wanadamu kwani hapo Shetani anaripoti kuwa ametokea Duniani ambako pia anaishi Ayubu
Alfu lela ulela tu.

Kwahyo bible ni kitabu cha kweli?

Are you sure!?
 
Stori feki hizo.

Baba'ke Yesu ni Zakaria na Kaka'ke Yesu ni Yahya (Yohana).
Dada Faiza acha hizo jokes katika mambo ya msingi. Kama kweli unaitaka pepo zingatia kuhusu huyu Yesu.
Quran yenu yenyewe 4:171 inamuita Neno la Mungu. Ona tafsiri halisi ya hilo Neno la Kiarabu hapo juu
Screenshot_20230827-091534.png

Aidha, Quran 3:45 inarudia tena kusema "habari njema ya NENO KUTOKA KWAKE, NAYE ATAITWA YESU" Kumbe huyo Neno anayetoka kwa Mungu anaitwa Yesu
Screenshot_20230827-092845.png
 
Baiolojia ni levo ya pili.

U mungu na U Yesu ni roho iliyopo ndani ya hicho kitoto.

Kwa hiyo hakuna haja ya kutafuta sayansi ya mimba ilitungwaje. Sikiliza tu neno kama ni la kweli haitajalisha anayeliongea ni mtoto wa nani kibaolojia. Roho.
 
Sio sayansi hata kwa mganga mpe jina Yesu afanye ramli, vipimo,au mahesabu ya nyota kwa jina Hilo.
System yake itasoma dull.Giza,yaani halionekani kwenye system
 
Baiolojia ni levo ya pili.

U mungu na U Yesu ni roho iliyopo ndani ya hicho kitoto.

Kwa hiyo hakuna haja ya kutafuta sayansi ya mimba ilitungwaje. Sikiliza tu neno kama ni la kweli haitajalisha anayeliongea ni mtoto wa nani kibaolojia. Roho.
Nyinyi watu lazima mjue kuwa kwa Mungu kila jambo jema linawezekana
Yesu aliyekufa hapa Duniani ni UTU ule ule kama wa mbinguni; tofauti ni kwamba kule mbinguni alikuwa na MWILI WA KIROHO na hapa Duniani alikuwa na MWILI WA NYAMA.
Hiyo si AJABU kwakuwa Mungu hapo zamani aliwawezesha pia MALAIKA wakavaa miili ya nyama na kuwatokea Abraham, Loti na hata baadae alimtokea Jacob (alipopigana naye).
Kumbuka pia kuwa Yesu alipofufuka hakuwa tena na MWILI wa NYAMA 1 peter 3:18 inasema "For Christ died once for all time for sins, a righteous person for unrighteous ones... He was put to death in the flesh but made alive in the spirit"
Na ndiyo maana alikuwa akiwatokea mitume wake akiwa amevaa miili tofauti tofauti na ndyo maana hawakuwa wanamtambua mpaka aanze kuwakumbusha; mfano ni tomaso
 
Kwamba muumbaji wa ulimwengu alimtuma Yesu aje kufa!?
_20230901_102626.JPG

By the way huwezi thibitisha mbinguni kama kweli kupo, kwasababu hakupo.

Huwezi thibitisha kuwa malaika wapo, kwasababu hawapo.

Huwezi thibitisha kivyovyote vile kama Mungu yupo, kwasababu hayupo.

Unaishi kwenye mchezo tu wa kiimani uliotungwa na dini.

Bisha.
 
Back
Top Bottom