Msaada kwa wataalam wa matumizi ya umeme.

natambua nitakua muhujumu uchumi ila kama vip poa;
nilitaka kuanzisha thread kwa ajili ya suala hilo kwa maana nyumba niliyopanga mimi kwa mwezi umeme wa zaidi ya sh. 51,000 na siku za nyuma haikuwa hivyo, kuna mpangaji mwezetu katushauri tumtafute mtu wa TANESCO ili aje aibane liku eti haitamaliza sana unit; Je, hili linawezekana?
ila nyie mna raha kidogo...sie kwa mwezi wastani kuanzia 90,000/= kwenda juu na tushajibana sana tu mpaka tumechoka..ila kuna mtu aliwahi kutuambia kuna dalili kubwa kuwa ni earth rode imekwisha...
 
Back
Top Bottom