Msaada kwa wataalam wa matumizi ya umeme. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa wataalam wa matumizi ya umeme.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbaga Michael, Jun 14, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Wanabodi, habari zenu

  Nahitaji kufahamisha kuhusu vitu vinavyotumia umeme kwa matumizi makubwa zaidi, naishi katika nyumba ya kupanda hivyo tumeshindwa kupangiana kiwango kutokana cha fedha kutokana matumizi ya vitu vyake. Wapo wapangaji wenye vifaa vya umeme kama friji, wenye tv, wenye subwoofer, wenye ittor, wenye pasi, ni yupi kati yao anatumia umeme mwingi? Tafadhari ainisha kwa unit kama utaweza ahsante. Karibu
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja anunue unit reader yake.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa, nymba za kupanga bana!
   
 4. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kwanza unabid ufahamu kifaa chochote kinacho convert electrical energy to heat energy e.g. Heater, pasi na jiko huwa vinakula umeme sana. Kwa vifaa kama radio, deki, tv, subwoofer huwa vinatumia umeme kidogo na kwa upande wa frij huwa inakuwa katikati. Kuhusu ku specify unit itakuwa ngumu maana hata hvyo vifaa vyenyewe vinatofautia. E.g tv ya CRT inakula umeme kuliko LCD.
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  ahsante
   
 6. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  hahahaha umenikumbusha mother house wangu wa zamani kabla sijapata kakibanda kangu bili ilikuwa ni sawa kwa wote hata kama una balbu tu ikikuuma nawewe kanunue vyombo vinavyotumia umeme mwingi no malalamiko ilikuwa poa sana
   
 7. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  That's another headache making issue!
  Kutumia mita moja kwa wapangaji wenye matumizi tofauti tena wasio na ujuzi kuhusu umeme ni tatizo sugu kwenye nyumba nyingi.

  Matumizi ya meter kwa kila mpangaji bado ni suala gumu sana, sijui ufahamu wako katika mfumo wa umeme ila tu nikwambie bei ya units za umeme hasa mita za luku ni kichefuchefu. Ukinunua umeme kuanzia unit moja hadi hamsini kuna bei yake na unit zinazozidi yaani ya 51 kuendelea zina bei nyingine, sasa kukubaliana nani na nani wamefanya matumizi yazidi unit 50 na hivyo walipe bei tofauti nayo ni issue nyingine.

  Nawashauri kufikiria kufanyia kazi ya kiujanja mita yenu na wiring system yote, waibieni tanesco umeme mfanye matumizi yoyote mnayotaka bila kuwalipa lundo la hela. Wao wenyewe pia wezi tu
   
 8. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua kifaa cha umeme kinakula umeme kiasi gani, angalia hicho kifaa ni cha watt ngapi. Mfano balbu ya watt 100 inakula unit 1 kila inapowashwa masaa 10. Tunajuaje?
  Tumia formula hii:muda(hrs) wa kutumia unit 1 = 1000/watts za hicho kifaa. Kwa balbu ya watt 100, itakuwa 1000/100 = 10 hrs.
  Je pasi ya watt 1000 inamaliza unit baada ya muda gani? Ni 1000/1000 = 1. Kumbe pasi ya 1000 inahitaji saa 1 tu kumaliza unit moja.
  Kwa hiyo je, pasi hiyo inakula umeme mwingi kuliko balbu ya watt 100? Ni kipi kati ya hivi kinahusika kumaliza luku au kuleta bili kubwa kwa mwezi?
  Matumizi ya umeme yanategemea mambo 2;
  • power consumption/time
  • operating time
  yaani muda wa kutumia kifaa ni muhimu. Tukichukulia pasi ya 1000w inayotumiwa masaa 2 kwa wiki na balbu ya 100 inayowashwa masaa 6 kila siku, pasi itatumia unit 8 kwa mwezi na balbu unit> 6*30(siku kwa mwezi)=180 masaa ya matumizi kwa mwezi. Chukua 180/10(muda wa kula unit1)=unit 18. Pasi unit 8 tu. Kwa hiyo utaona kuwa tuhuma dhidi ya pasi hazina ukweli. Jambo lingine ni kuwa pasi inakula umeme pale tu taa yake inapowaka. Ikizima hakuna umeme inaotuchukua!
  Friji/friza pia zinatuhumiwa sana, ni kweli lakini ni kwa sababu ya masaa mengi ambayo zinafanya kazi. Watts zake ni za kawaida, 100w, 160w,n.k.
  Kwa hiyo unapotaka kujua kipi kinakumalizia luku au kuleta bili kubwa zingatia mambo 2 hapo juu.
   
 9. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  ahsante sana kwa ufafanuzi wako mzuri.
   
 10. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  unaonaje ukinipa hzo bei zake?
   
 11. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  natambua nitakua muhujumu uchumi ila kama vip poa;
  nilitaka kuanzisha thread kwa ajili ya suala hilo kwa maana nyumba niliyopanga mimi kwa mwezi umeme wa zaidi ya sh. 51,000 na siku za nyuma haikuwa hivyo, kuna mpangaji mwezetu katushauri tumtafute mtu wa TANESCO ili aje aibane liku eti haitamaliza sana unit; Je, hili linawezekana?
   
 12. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Ok, mheshimiwa.
   
 13. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yani this is another headache, leo nimeshinda nawaza tu. after 8 days 5000, kwa kila mpangaji. eti bili ya umeme luku. yani luku inashinda hata gharama za kupanga chumba!
   
 14. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Mwea Msaada wa haraka! ... badilisheni taa zote za nyumba yenu kutoka bulb za kawaida kwenda zile zinazoitwa "energy saver bulbs" alafu ziwe ni za watts ndogo .. watts 10 or less.

  Ukifanya hivi utakuwa umepunguza gharama za umeme zaidi ya NUSU au hata zaidi ya hapo ... nna experience na hili ... fanya hivyo kama njia ya kwanza alafu utakuja kusema faida zake.


  [​IMG]
   
 15. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu dotworld tunatumia energy server. na gharama ndo hizi za sijui ingekuwa tunatumia bulb za kawaida ingekuwaje.
   
 16. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nawasi wasi na mama mwenye nyuma natuchakachua, coz huwa anakusanya mwenyewe michango, then ananunua kwa njia ya m pesa.
   
 17. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kikawaida inakuwa ni vigumu kupanga mahesabu kulingana na vitu mtu alivyokuwa navyo. kwani utakuta havitumii muda wote. kwa mfano microwave inatumika si zaidi ya dakika tano kwa siku, utakuta wengine wana tv lakini hawana hata muda wa kuwasha, wanarudi kazini usiku wamechoka wanalala.
  fridge freezer pekee ndio kifaa kinachopiga kazi muda wote, kwa wastani freezer inakula unit moja kwa siku, pasi ya watt 2000 ikifanya kazi nusu saa ndio inakuwa ni sawa na freezer lilofanya kazi 24hrs.
  ila nyumba ya kulipia 5000 kila wiki kwa umeme ni janga hilo....... kimbia kaka
   
 18. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  paje , kaka inaniumiza kicha ile kishenzi, afu tatizo mwezi huu ndo nimelipia kodi ya miezi 6. na huu mwezi wa 6, ndo mwezi wa kwanza so nina miezi 5, mbele.
   
 19. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Fanyeni yafuatayo:
  1. Hakikisheni mnanunua wenye umeme. Maana wenye nyumba wengi wanatumia njia ya kuchangisha wakati si kweli mara zote wanatumia kununa umeme.
  2. Muiteni fundi anayejua umeme (huku mitaani siyo mafundi wote ni qualified electrician) aangalie wiring ya nyumba na kuhakikisha hakuna leakage zozote.
   
 20. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Tembelea post hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/163365-fahamu-kiasi-cha-pesa-unacholipa-kwa-umeme-unaotumia.html#post2351480

  huenda ukapata ufumbuzi wa suala lako
   
Loading...