Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 310
- 451
Shukrani mkuuMadai unalipwa ela yako yote mstaafu anapewa kwa installment
NimestaafishwaSorry mkuu..Umestaafu ama umestaafishwa??
Wanatoa acha kupotosha ingawa sio wote wanapewa kwa wakati ila unapata ela yakoUsitegemee kupata hiyo pesa mwaka huu, nakuhakikishia hilo, usije ukaingia madeni kwakutegemea malipo ya Nssf utaonekana tapeli mtaani.
Nssf hawawezi kukuingizia pesa kwenye akaunti amini ninachokueleza, tarehe waliyokwambia nenda kadai check yako waambie utakwenda kuideposit mwenyewe bank, vna utapigwa kalenda wala check hautopata.
Kama watakuwa wamejirekebisha angalau baada ya miezi 6 ndio utapata hiyo ela, tafuta pesa ya kujikimu kwa sasa usiitegee kabisa hela ya hao mashetani wa Nssf utajuta.
Na je wanatoa pesa yote kwa mara moja ?Wanatoa acha kupotosha ingawa sio wote wanapewa kwa wakati ila unapata ela yako
Sina mkataba wa uhaiKwa nini usiziache ukazichukua siku ukistaafu?
Ndugu pole huko NSSF kuna changamoto kubwa. Haya mashirika hayana ela ela zao zinaingizwa kwenye makusanyo ya TRA. Utasikia TRA wamekusanya kodi kumbe hakuna kitu kabisa. Huwezi kukusanya kodi kubwa Serikali inashindwa kuwalipa watu mafao yao kwa wakati.Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia.
Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba nilisahau hata kuuliza kwamba hiyo hela wataniingiza yote kwa pamoja au ndo yale mambo ya kuingiziana kidogo kidogo ambapo huwezi hata kufanya chochote cha kimaendeleo.
Naomba kwa yoyote humu mwenye uzoefu au ambae amechukua pesa zake hivi karibuni anisadie kunielewesha juu ya hili swali langu.
Asanteni.
Wanatoa yote ila kama ni mstaafu unapewa kwa awamuNa je wanatoa pesa yote kwa mara moja ?
Pimbi wewe, wapi nimesema hawatoi?Wanatoa acha kupotosha ingawa sio wote wanapewa kwa wakati ila unapata ela yako
Asante sana kwa taarifaNdugu pole huko NSSF kuna changamoto kubwa. Haya mashirika hayana ela ela zao zinaingizwa kwenye makusanyo ya TRA. Utasikia TRA wamekusanya kodi kumbe hakuna kitu kabisa. Huwezi kukusanya kodi kubwa Serikali inashindwa kuwalipa watu mafao yao kwa wakati.
NSSF ukienda kudai mafao kwa utaratibu wao kama una professional unalipwa 33% ya mashahara wako kwa miezi sita. Pesa nyingine iliyobakia utasubirie miezi 18 kama haujapata kazi ndipo utaenda kudai
Kama mashahara wako 500,000 kwa mwezi
33/100*500,000=. 165,000 *6 months = 990,000
Pesa utakayo pewa ya mafao yako ni 990,000
Pesa nyingine utaendelea kusubiria. Inauma kweli kukuta watu waliofanya hii sheria mishahara yao ni million 5, 8, 10
AsanteWanatoa yote ila kama ni mstaafu unapewa kwa awamu
Pimbi wewe na baba akoPimbi wewe, wapi nimesema hawatoi?