malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
Umeoa unamke?
Umeoa unamke?
Mkuu hiyo yawezekana ni ngiri...mm nilitumja daw za asili nikarud poa..waulize tu wamasai watakupatia japo ni chungu sanaMashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake siwezi na siwezi kuendelea tena.
Mkuu Hali yako vip Sasa unaendeleaje umepona namim nayoshida Kama hiyo
Umeshapa Suluhisho?Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.
TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.
Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake na siwezi kuendelea tena.
Tatizo limeanza na mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya.
Atakuwa kapona,haleti mrejesho.Umeshapa Suluhisho?
Nicheck hapa 0764296592, nikupe Maelekezo kama utakuwa tayariMkuu Hali yako vip Sasa unaendeleaje umepona namim nayoshida Kama hiyo