Msaada kwa Mwanaume Yeyote aliyepata Suluhisho la upungufu wa Nguvu za Kiume

Duh... kwa wazungu sishangai. Ila hawa wakwetu... sijui.

Kweli ya Mungu mengi
Wanawake wa Africa wengi si waongeaji wa shida zao, yaani hata kwenye mahusiano wanataka uweke rapport ndio atakwambia yanayomsibu, sina maana shida za kipesa, maana hilo kidogo kulisemea rahisi but kwa ufupi sana, sometimes ni sahihi kusema mwanamke ni taasisi, Wana mambo mengi. Ukiwa na pupa au jazba hakwambii ukweli, anakuzuga na yasiyoeleweka ila ukweli halisi wanafunga.

Jamii zetu huwa zinawahukumu zaidi kuliko sisi wanaume, ndio maana hawasemi ukweli mara nyingi. Turudi kwenye mada ya nguvu za kiume
 
Umejaribu kwa madem wangap, jaribu kwa madem kama watatu hiv, tafuta wale kiuno feni. Kingine ni ukosefu wa pesa tu unakufanya unakuwa na mawazo sana, mim nikiwa sina kitu, naweza nisigonge ata mwezi.
 
Ok polee mkuu....

Kama mashine inasimama na unahisi hamu ya kusex basi na bao linatoka basi huna hilo tatizo.

Kwanza inabidi ujijue na uikubali hali yako then unakuja Kwenye kujiamini.

Kuna kitabu ngoja nkiangalie nkutumie ukisome....Ila kimeandkwa kwa lugha ya malkia.

Au google hichi kitabu "Gods sex method"
 
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.

TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.
Mkuu nadharia ya upungufu wa nguvu za kiume ina maana nyingi.

Ili kupata msaada sahihi ungeweka wazi kinachokusumbua hasa ni kipi ili watu wakupe ushauri sahihi.
Yaani ungeelezea either mashine haisimami,humwagi manii?au unamwaga lakini mbegu zako hazina uwezo wa kutunga mimba? au unawahi sana kufika kileleni?

Kati ya haya ni kipi kinakusumbua?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Asikudanganye mtu huwezi ukapona nguvu za kiume kwa kutibiwa kienyeji au hosptalini.

Nguvu za kiume ni tatizo linaloanzia kwenye saikolojia.

Anza kujitibu kwanza kisaikolojia, kisha Fanya mazoezi , kula misosi inayoeleweka na ondoa mawazo machafu akilini mwako.

Hakika utakuwa fiti.
Ila wengi hawafahamu tu. Tatizo kubwa sasa hivi ya nguvu ya kiume ni kisukari diabetese typ. Na hii huletwa na ulaji wa hovyo. Inasababisha damu isisambambe kweny mboo. Pia kisaikolojia.

Kuna hatua ya mwisho kabisa kama huwezi simamisha ni ooereshen. Wanasimika mbomba flani yani wewe hadi kufa unadindisha tu. Lakini madaktari wengi hawapendelei
 
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.

TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.
Fanya mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka mkuu
 
Mkuu nadharia ya upungufu wa nguvu za kiume ina maana nyingi.
Ili kupata msaada sahihi ungeweka wazi kinachokusumbua hasa ni kipi ili watu wakupe ushauri sahihi.
Yaani ungeelezea either mashine haisimami,humwagi manii?au unamwaga lakini mbegu zako hazina uwezo wa kutunga mimba?au unawahi sana kufika kileleni?
Kati ya haya ni kipi kinakusumbua?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ni edit pale juu nimeweka wazi
 
Ila wengi hawafahamu tu. Tatizo kubwa sasa hivi ya nguvu ya kiume ni kisukari diabetese typ. Na hii huletwa na ulaji wa hovyo. Inasababisha damu isisambambe kweny mboo. Pia kisaikolojia.

Kuna hatua ya mwisho kabisa kama huwezi simamisha ni ooereshen. Wanasimika mbomba flani yani wewe hadi kufa unadindisha tu. Lakini madaktari wengi hawapendelei
Hatari mkuu bomba tena?
 
Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake siwezi na siwezi kuendelea tena.
Pole mzee, kama unapiga nyeto acha mara moja, pili fanya mazoezi ya kutosha, ugide maji kwa wingi. Kula kwa wingii chocolate nyeusi, vitu jamii ya karanga, tikitiki maji, tafuna mpaka mbegu zake, machungwa, ndizi, kama hunna vidonda vya tumbo kula pilipili.

Baada ya mwezi taafuta mechi ya kirafiki, utaleta majibu. Mzigo (goli kuja mapema ni kujicontroll tu, kadri uttakavyopiga game nyingi utakuwa sawa, ukishindwa mwaga mzigo nje pia)
 
Pole mzee, kama unapiga nyeto acha mara moja, pili fanya mazoezi ya kutosha, ugide maji kwa wingi.. Kula kwa wingii chocolate nyeusi, vitu jamii ya karanga, tikitiki maji, tafuna mpaka mbegu zake, machungwa, ndizi, kama hunna vidonda vya tumbo kula pilipili..

Baada ya mwezi taafuta mechi ya kirafiki, utaleta majibu.. Mzigo, (goli kuja mapema ni kujicontroll tu, kadri uttakavyopiga game nyingi utakuwa sawa, ukishindwa mwaga mzigo nje pia)
Poa mkuu nimekupata mkuu
 
Upo sahihi kabisa LA kuongeza hapo.

Chai yako iwe ni Tangawizi mbichi + Mdalasini(unga)+ asali itakuwa poa sana ila ukikosa tumia tu sukari achana na majani ya chai itakuwa vizuri sana.

Pia achana na Sembe kula Dona na Ndizi itakuwa poa sana.
Asali mbichi+mdalasini+tangawiz+kitunguu swaum.unatumia4x2=yaan asbh vjko2,jion2 tumia ndani ya week2
 
Nguvu za kiume ni tatizo linaloanzia kwenye saikolojia.
Sure, ukute hana tatizo lolote bali ni msongo wa mawazo tu na stress so hawezi ku concentrate ktk hiyo kitu.
Ni kweli mkuu ila sio ivyo kwangu nipo poa kila kitu sina stress mishe zipo poa ila game zinanishinda kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom