Msaada kwa Mwanaume Yeyote aliyepata Suluhisho la upungufu wa Nguvu za Kiume

Sijawahi kusikia wanawake wakilalamika upungufu wa nguvu za kike...

Hili nadhani ni tatizo la kisaikolojia zaidi
Shukuru hujakutana na mwanamke mwenye tatizo hilo, lakini wapo. Kuligundua sio rahisi kama ilivyo kwa mwanamme. Mwanamke hushindwa kupata hamu ya tendo la ndoa, hata umsisimua namna gani, sehemu za siri hazipate utelezi. Yaweza pia bado mnaendelea na shughuli yenu uke ukakauka kiasi cha kukupa michubuko kama hutajitoa mapema.

Wao ni rahisi kulificha tatizo kwa kujipaka vilainishi ukeni na kuigiza anafurahia sana.


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.


TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.


Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake na siwezi kuendelea tena.

Tatizo limeanza na mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya.
Njoo nikupeleke kwa bibi mmoja huku Mwandoya ukagongwe kwenye tigo na beberu la bibi uwe imara siku zote!
 
Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake siwezi na siwezi kuendelea tena.
Unahitaji Usingizi wa kutosha nyakati za usiku pia punguza mawazo huenda hata wakati wa tendo unakuwa unawaza Mambo mengine yaani hauko present . Kunywa maji mengi.

Kitunguu swaumu uwe unatafuna Kama harufu haikupi shida kula na ndizi mbivu Sana na mihogo inaspongy fibres zinazoimarisha misuli ya uume maana uume ni Kama spongy linajaa damu ikiflow .. sasa Kama haurudii unamaanisha damu inaenda maeneo mengine yenye uhitaji .. work more on your psychology boss.
 
Boss.

Kuna ushauri hapo juu kuhusu mwanamke uliye naye unamtamani? Yani kakaa kimatamanio? Au ushamchoka?

Mimi niliwahi hisi ninatatizo Kama lako nikamchana mshikaji wangu akaniambia acha ufala, em jaribu Kazi ingine, nilipoenda nje mambo yakawa moto.

Lesson learnt, huenda umemkinai uliyenaye em jaribu nje kisha rudi ndani uone.
 
Tulia acha kupanic ,Mimi ilishanikuta nikagundua ni life style inachangia sana,kwanza pata mda wa kupumzisha akili,kula vizuri tena ushibe ndio ufanye Tendo ,haya matatizo wengi wanajua ni ugonjwa kumbe mtu ajashiba au hajala kabisa alafu unataka upige bao 5.
 
Boss.

Kuna ushauri hapo juu kuhusu mwanamke uliye naye unamtamani? Yani kakaa kimatamanio? Au ushamchoka?

Mimi niliwahi hisi ninatatizo Kama lako nikamchana mshikaji wangu akaniambia acha ufala, em jaribu Kazi ingine, nilipoenda nje mambo yakawa moto.

Lesson learnt, huenda umemkinai uliyenaye em jaribu nje kisha rudi ndani uone.
Asante mkuu nashukuru
 
Hili tatizo linaanzia humu humu mtandaoni

Mtu akishaanza kujisifia anapiga bao moja ndani ya dakika 30 na anaweza kuendeleza kupiga hata bao 7 , huyu anayepiga kamoja chini ya dakika 10 anaanza kujiona anaupungufu wa nguvu za kiume.

Hapo tayali ameshajitengenezea tatizo hata kama yuko fiti.

Unataka uende hadi dakika 30 kwani we pornstar?

Jikubali Mzee.
 
Tulia acha kupanic ,Mimi ilishanikuta nikagundua ni life style inachangia sana,kwanza pata mda wa kupumzisha akili,kula vizuri tena ushibe ndio ufanye Tendo ,haya matatizo wengi wanajua ni ugonjwa kumbe mtu ajashiba au hajala kabisa alafu unataka upige bao 5.
Thanks mkuu nimepata amani. Kama linatibika poa
 
LENGO SIO MIMI KUJISIFIA

Mimi tangu nikiwa mtoto, kijana na sasa mtu mzima kiasi fulani, mimi ni mwendo wa chips yai nakula, kuku kisasa nakula, ugali ndio sipendi kula kwa mwez mara moja tena kwabahat mbaya, mazoez sina mda kufanya, inshort hadi leo nakula vyakula ambavyo wengi wanasema vinapunguza nguvu za kiume, bia pia nakunywa hasa weekends.

Ila sasa unikute nimemshika mdada kwenye 18 zangu ni show show tuu mwanzo mwsho sijawah hisi nguvu zimepungua au nikafeli show. Na enzi za ujana nimepiga nyeto sana tu ila bado nilikua nipo vzuri nikikamatia pisi.

KUKOSA NGUVU ZA KIUME NI TATIZO LA KIAKILI AU KISAIKOLOJIA HATA ULE NINI UTIBIWE VIPI KAMA AKILI YAKO INAKUJENGEA HOFU KAMWE HUWEZ KUPATA NGUVU. ONDOA HOFU, ACHA KUJIHISI KUSHINDWA, JIPE MUDA RELAX BAADA YA 1st ROUND USIPAPARIKE.

Kwa ambao mnahisi mnashida hio kamwe msitumie madawa ya hospital au msitumie dawa za wamasai au kunywa alkasusu vumbi kongo n.k

Jiweke sawa kisaikolojia hio ndio siri ya mchezo.
 
Boss.

Kuna ushauri hapo juu kuhusu mwanamke uliye naye unamtamani? Yani kakaa kimatamanio? Au ushamchoka?

Mimi niliwahi hisi ninatatizo Kama lako nikamchana mshikaji wangu akaniambia acha ufala, em jaribu Kazi ingine, nilipoenda nje mambo yakawa moto.

Lesson learnt, huenda umemkinai uliyenaye em jaribu nje kisha rudi ndani uone.
Utmchoka mke mansi utani huu!
 
LENGO SIO MIMI KUJISIFIA:-
Mimi tangu nikiwa mtoto, kijana na sasa mtu mzima kiasi fulani, mimi ni mwendo wa chips yai nakula, kuku kisasa nakula, ugali ndio sipendi kula kwa mwez mara moja tena kwabahat mbaya, mazoez sina mda kufanya, inshort hadi leo nakula vyakula ambavyo wengi wanasema vinapunguza nguvu za kiume, bia pia nakunywa hasa weekends...
Ila sasa unikute nimemshika mdada kwenye 18 zangu ni show show tuu mwanzo mwsho sijawah hisi nguvu zimepungua au nikafeli show...
Na enzi za ujana nimepiga nyeto sana tu ila bado nilikua nipo vzuri nikikamatia pisi...
KUKOSA NGUVU ZA KIUME NI TATIZO LA KIAKILI AU KISAIKOLOJIA HATA ULE NINI UTIBIWE VIPI KAMA AKILI YAKO INAKUJENGEA HOFU KAMWE HUWEZ KUPATA NGUVU...
ONDOA HOFU, ACHA KUJIHISI KUSHINDWA, JIPE MUDA RELAX BAADA YA 1st ROUND USIPAPARIKE...
Kwa ambao mnahisi mnashida hio kamwe msitumie madawa ya hospital au msitumie dawa za wamasai au kunywa alkasusu vumbi kongo n.k...
Jiweke sawa kisaikolojia hio ndio siri ya mchezo
Noted mkuu thanks wanaume kulindana
 
Nipe body weight yako, BMI, height nikusaidie shemela!
My serious note! Fanya mazoezi (i.e. aerobic, jodging, pushups, plunking,nk). Kama wewe ni bonge manyama uzembe mpaka kadushe kanapotelea ndani kama sisimizi basi utakuwa na matatizo ya kiafya. Anza na diet,
1. Asubuhi; chungwa, yai mchemsho na chai ya tangawizi bila sukari ( tumia asali)
2. Mchana; kula matunda kiasi, maji mengi
3. Usiku before bed; pata mbogax2
Tumia App to monitor your health ( calories burn per day, BMI, nk.)

Mkeo ana umri gani? Anahitaji pia kaushauri asigangamae kitandani kama Tunguli ya Kinyamwezi. Ajiongeze kidogo! Sex inahitaji kurelux, tumia muda kumuandaa! Nyonya kale kaulimi, chezea, mchumm...
Bye ngoja nimuandalie my hubby lunch amesharudi kutoka job

Anyonye kaulimi gani hako?
 
Back
Top Bottom