Msaada kwa Mwanaume Yeyote aliyepata Suluhisho la upungufu wa Nguvu za Kiume

Mel James

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
344
241
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.

TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.

Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake na siwezi kuendelea tena.

Tatizo limeanza na mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya.
 
Mku
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.

TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.
Mkuu upungufu wa nguvu za kiume hutofautiana Kati ya mwanaume mmoja na mwingine.Weka tatizo lako wazi tukupe njia za kuondokana nalo na silirudi Teena maishani mwako.MAELEKEZO YA DAWA UTAPEWA BUREEEE
 
Ni defect ya mwili na sio ugonjwa.Hali hii ni ya kisaikolojia,umri,ulaji mbovu, instability ya afya ya ubongo /mastress mengi, kutokupata muda wa kupumzika.

ILA KUBWA KULIKO MAFUTA MENGI MWILINI AMBAPO YANAHARIBU CORDINATION SYSTEM INACHANGIA PAKUBWA SANA NDO MAANA VISHUA WENGI NI WAHANGA WA HILI TATIZO KULIKO SISI MASELA MAFUNDI CARPENTER
 
Kwanini unajiihisi huna nguvu za kiume, nguvu za kiume ni neno pana chief, funguka watu wajue wanaanxia wapi kukusaidia.. Je unakoja kimoja chali, je kimoja chenyewe cha kuku, je mzigo kusimama mpaka ubustiwe, je mbegu zako dhaifu n.k n.k
 
Asikudanganye mtu huwezi ukapona nguvu za kiume kwa kutibiwa kienyeji au hosptalini.

Nguvu za kiume ni tatizo linaloanzia kwenye saikolojia.

Anza kujitibu kwanza kisaikolojia, kisha Fanya mazoezi , kula misosi inayoeleweka na ondoa mawazo machafu akilini mwako.

Hakika utakuwa fiti.
 
Sijawahi kusikia wanawake wakilalamika upungufu wa nguvu za kike...

Hili nadhani ni tatizo la kisaikolojia zaidi
Wapo mkuu, tembea uone. Wazungu nadhani huita loss of libido, na hio inawakuta watu wote ikiwemo na wanawake. Mtu anakuwa hana sex appeal, hataki mambo hayo, hana hamu kabisa na si kuwa hakupendi na hata akikupa anakupa ili tu usijisikie vibaya (wapo wanawake wa ivo, sema wengi hawapendi kuliweka wazi as wanaume tufanyavyo).

Dunia ina mengi mkuu
 
Hili tatizo linaanzia humu humu mtandaoni

Mtu akishaanza kujisifia anapiga bao moja ndani ya dakika 30 na anaweza kuendeleza kupiga hata bao 7 , huyu anayepiga kamoja chini ya dakika 10 anaanza kujiona anaupungufu wa nguvu za kiume.

Hapo tayali ameshajitengenezea tatizo hata kama yuko fiti.

Unataka uende hadi dakika 30 kwani we pornstar?

Jikubali Mzee.
 
Kwanini unajiihisi huna nguvu za kiume, nguvu za kiume ni neno pana chief, funguka watu wajue wanaanxia wapi kukusaidia.. Je unakoja kimoja chali, je kimoja chenyewe cha kuku, je mzigo kusimama mpaka ubustiwe, je mbegu zako dhaifu n.k n.k
Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake siwezi na siwezi kuendelea tena.
 
Wapo mkuu, tembea uone. Wazungu nadhani huita loss of libido, na hio inawakuta watu wote ikiwemo na wanawake. Mtu anakuwa hana sex appeal, hataki mambo hayo, hana hamu kabisa na si kuwa hakupendi na hata akikupa anakupa ili tu usijisikie vibaya (wapo wanawake wa ivo, sema wengi hawapendi kuliweka wazi as wanaume tufanyavyo). Dunia ina mengi mkuu
Duh... kwa wazungu sishangai. Ila hawa wakwetu... sijui.

Kweli ya Mungu mengi
 
Hili tatizo linaanzia humu humu mtandaoni

Mtu akishaanza kujisifia anapiga bao moja ndani ya dakika 30 na anaweza kuendeleza kupiga hata bao 7 , huyu anayepiga kamoja chini ya dakika 10 anaanza kujiona anaupungufu wa nguvu za kiume.

Hapo tayali ameshajitengenezea tatizo hata kama yuko fiti.

Unataka uende hadi dakika 30 kwani we pornstar?

Jikubali Mzee.
Na haya mavideo ya ngono yanawaharibu kisaikolojia madogo wetu..
 
Back
Top Bottom