mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Mtoa mada jibu lako liko hapa.Asikudanganye mtu huwezi ukapona nguvu za kiume kwa kutibiwa kienyeji au hosptalini.
Nguvu za kiume ni tatizo linaloanzia kwenye saikolojia.
Anza kujitibu kwanza kisaikolojia, kisha Fanya mazoezi , kula misosi inayoeleweka na ondoa mawazo machafu akilini mwako.
Hakika utakuwa fiti.
Hakunaga dawa za kutumia ili uwe na nguvu za kiume. Solution yake fanya mazoezi ya kukimbia kadri pumzi yako inavyoongezeka na nguvu za kiume zinaongezeka sambamba.
Kisha kula matunda mara kwa mara hasa hasa ndizi,tikiti maji na parachichi. Nilishawahi kujaribu hiki kitu nikaona faida yake. Kwanza sasa hivi ukipata demu jaribu kitu hiki halafu upime matokeo,kabla ya kuanza mechi nunua ndizi mbivu mbili au tatu kula halafu ukishamaliza kula tu nenda mchezoni utaona mashine inavyokaza na utapiga shoo kwa muda mrefu kuliko kawaida yako baadae utaleta mrejesho hapa.
Nilikuwa na tatizo kama lako baadae nikajaribu hizo njia nikaona matokeo.
Ndio maana kuna wale mafundi ujenzi kwenye mechi huwa ni mziki mnene kwa sababu kazi yao ni mazoezi makali.
Nina rafiki yangu mmoja ni fundi ujenzi shuhuli yake huwa akiishi na wanawake wanamkimbia wanasema hachoki kila mara anataka kurudia mechi na ni za masafa marefu.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app