Msaada kwa Mwanaume Yeyote aliyepata Suluhisho la upungufu wa Nguvu za Kiume

Kuna mizizi Fulani hivi sijui jina lake nilielekezwa Dar pia ipoo ila unachrmsha nafikiri inatoa km povu ukinywa hiyoo balaaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.

TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.

Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake na siwezi kuendelea tena.

Tatizo limeanza na mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya.
Umeshapa Suluhisho?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom