Mpaka hapo umebaki kwenye nyanja za kufikirika, sijasema kwamba utupu haufikiriki.
Nimeuliza kwamba utupu unathibitishika?
Hujaweza kuuthibitisha bado, uliyoandika yanaonyesha unaamini kwamba upo.
Imani si uthibitisho. Kuna watu wanaamini dunia ni bapa lakini kuamini hivyo hakufanyi dunia iwe bapa.
Unaweza kuthibitisha kwamba utupu upo kwa uhalisi nje ya dhana za kufikirika tu?
Elimu yako ya quantum physics imeishia wapi, kama ipo kwa kiwango chochote kabisa?
Wapi nimeandika sitaki ujuzi ambao uko verifiable?
Kipi kimekufanya udhani hivyo?
Kuna ujuzi ambao hauko verifiable?
Kipimo cha uelewa na logical consistency.
Kipimo cha uelewa na logical consistency.
Hujajibu swali, unaelewa quantum.physics kwa kiwango kipi?
Quantum physics ime settle suala.la utupu as stated above.
Kama unadai wewe ni "msomi" ili tuhitaji kuwa na HAKIKA tuitahitaji ushahidi ambao uko verifiable na waliokupa usomi
Kama hutakuwa na huo ushahidi tutakuona unaleta longolongo tu
Hapa huyu jamaa amekuambia kuwa anajua mambo ya Quantum physics
Hukumuelewa unataka akuambi kiwango cha ujuzi wake
Unaposema unataka kiwango tayari unakuwa unataka akupe kiwango cha uelewa wake wa mambo hayo ambao utakuwa umepimwa tayari ndio maana umetaka "kiwango"
Na kiwango kina kile kilichopimia ambacho ni lazima aambatanishe na uthibitisho wa hicho kiwango ambacho alipimiwa
Au hujui ulichouliza?
Hiki kipimo ni kipi?
Kiko verifiable na nini?
huwezi pima uelewa kama hujamuelewa mtu,uelewa wako kutoridhiana na mwingine pia ni tatizo
kiwango cha jinsi utakavyopima
define hiyo mambo ya energy ntakuambia kitu
Msomi ni nani?
Wapi nimedai mimi ni msomi?
Kipimo ni uelewa, kipo verifiable na the peer reviewed body of works on quantum physics.
Hujajibu swali.
Kipimo ni uelewa, kipo verifiable na the peer reviewed body of works on quantum physics.
Unajua context ni kitu gani?
thibitisha ,ukishindwa rudi ujibu nakuona unadiverge.
Uelewa wa nani?
Kwanini tutumie uelewa wa "huyo"?
Hujajibu nilichokuulizaContext ina uhusiano gani na swali langu?
Mimi nimemuuliza mtu uelewa wake wa quantum physics umeishia wapi.
How do you equate that na mimi kusema ni msomi?
What if the logic is false
Kwanza uelewa ni matokeo ya kufikiriKwa nini umefikiri kuna huyo na uelewa huu ni wa "nani"?
Ukiongelea kuthibitisha nilishaanza mimi kukuuliza uthibitishe kama utupu upo.
Hujathibitisha bado.
Anza wewe.
Hujajibu nilichokuuliza
Umetoa maelezo ambayo hayasaidii mimi kupata jibu langu
Unajua context ni kitu gani?
Kwanza uelewa ni matokeo ya kufikiri
Ili uelewe ni hadi ufikiri
Kwasababu umesema kipimo ni uelewa basi uelewa ni wa fulani yaani mtu
Kwasababu mtu ndie anaefikiri kisha kuelewa
Sina ushahidi wa kingine ambacho kinafikiri na kuelewa
Kama sio niambie uelewa ni kitu gani!