Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Context katika context gani?

Hicho sicho nilichokuuliza
Siwezi kukuuliza context ya chochote wakati hata sijui kama unajua context ni kitu gani

Nijibu .....
Unajua context ni kitu gani?
 
Hicho sicho nilichokuuliza
Siwezi kukuuliza context ya chochote wakati hata sijui kama unajua context ni kitu gani

Nijibu .....
Unajua context ni kitu gani?

Sijui, ni kitu gani
 
Jamii inaweza kuelewa hivi na kufikiri hivi, si lazima awe fulani.

Hii inamaana kuwa jamii inaanzia kwenye fulani
Hivyo sijakosea kusema fulani

Swali langu liko pale pale
Kwanini tutumie uelewa wa jamii fulani?

Je huo uelewa umekuwa verifiable na nini hadi tulazimike kuutumia?
 
Kwa sababu umepikwa katika convergence ya peer review.

Watu mpaka leo wanafanya experiments kujaribu kukosoa relativity wanashindwa.

Wewe kabla ya kuleta habari za kuuliza kwa nini tu hukue hiki au lile unajua nini kuhusu quantum physics ili uweze kui question?
 
onesha ulipojibu, ukishindwa umenithibitishia.

prove to me that god does not exist. Please use impeccable evidence and verifiable exhibits. No assumptions are allowed at all time, only airtight and empirical evidence.
 
First show that it is false, mtu hujatuambia unaelewa quantum physics kwa kiwango gani unataka kukataa on the basis of false logic kitu ambacho hata hujatuonyesha kwamba unakijua?

Huku kama si kukumbatia ujinga ni nini?

kiwango cha nini?we jua naelewa

sijawaambia na nani?

nikuonyeshe kwa vipi?

definitions,facts,theories sijui matter,energy ,forces haha hivi vitu am not addicted i got my ownthinking therapy

ni ujinga kwa mtazamo wako,mana kipimo cha kumwona mtu mjinga unacho wewe
 
Kwa sababu umepikwa katika convergence ya peer review.
Ushahidi uko wapi?
Na ni jamii ipi hiyo?
Watu mpaka leo wanafanya experiments kujaribu kukosoa relativity wanashindwa.
Kwahiyo?
Wewe kabla ya kuleta habari za kuuliza kwa nini tu hukue hiki au lile unajua nini kuhusu quantum physics ili uweze kui question?
Niwe ndio naijua au siijui quantum physics maswali yangu yanahitaji majibu na natakiwa nijibiwe

Kuanza kuleta sababu kama hizo ni kukwepa kujibu!
 
Shetani wapo kule Midume inayofiranaa kwenye madanguro (KANISANI)

Unachokifanya siyo haki, kukashifu dini ya mwenzio moto wake ni mbaya sana, tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe nao Naijeria wanaujua moto huu, be critical man or woman whatever the gender siyo lazima kuchangia kwa kughadhabisha wengine, dini hizi zililetwa kwa meli, hence we abudu unachoabudu kimya kimya, mwisho wa siku itajulikana mbivu na mbichi, nichofahamu hamna dini inaruhusu ufirauni bali ni inventions za wanadamu, ndo maana imeandikwa amelaaniwa mfiraji na mfirwaji (emphasis not mine).
 
Umekuja na jina lingine mara?

Na hili linaenda kwenye ignore list.

We jamaa unauwezo mdogo sana wakufikiri mambo, na isingekuwepo hiyo ignore list sijui nini kingekustili maana imeshakuwa kama kumbilio lako unapokosa hoja za msingi..
 
Unachokifanya siyo haki, kukashifu dini ya mwenzio moto wake ni mbaya sana, tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe nayo Naijeria wanaujua moto huu, be critical man or woman whatever the gender siyo lazima kuchangia kwa kughadhabisha wengine, dini hizi zililetwa kwa meli, hence we abudu unachoabudu kimya kimya, mwisho wa siku itajulikana mbivu na mbichi, nichofahamu hamna dini inaruhusu ufirauni bali inventions za wanadamu, ndo maana imeandikwa amelaaniwa mfiraji na mfirwaji (emphasis not mine).

Ngoja nikuambie kitu mkuu wangu

Ukiona mtu huko mtaani anakusema vibaya na kueneza sifa mbaya kukuhusu jua huyo ndani mwake anakuogopa sana na namna ya kup[ambana na hiyo hofu anaona njia sahihi ni kukuchafulia jina

Hawa watu wana matatizo ya aina hii

Imani yao haiuziki bila kukashifu ile wanayoiogopa!
 
Unachokifanya siyo haki, kukashifu dini ya mwenzio moto wake ni mbaya sana, tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe nayo Naijeria wanaujua moto huu, be critical man or woman whatever the gender siyo lazima kuchangia kwa kughadhabisha wengine, dini hizi zililetwa kwa meli, hence we abudu unachoabudu kimya kimya, mwisho wa siku itajulikana mbivu na mbichi, nichofahamu hamna dini inaruhusu ufirauni bali inventions za wanadamu, ndo maana imeandikwa amelaaniwa mfiraji na mfirwaji (emphasis not mine).

tatizo ni mods kutangaza jf fb wamefanya ujinga sana
 
We jamaa unauwezo mdogo sana wakufikiri mambo, na isingekuwepo hiyo ignore list sijui nini kingekustili maana imeshakuwa kama kumbilio lako unapokosa hoja za msingi..

Uzuri au ubaya wangu siogopi kusemwa vibaya wala sitafuti kusifiwa.

Ignore list ni haki yangu kuwatupa ninaoona hawana cha maana.

Ndiyo maana ikawekwa pale, si pambo.

Na hata kama nina uwezo mdogo wa kufikiri -sijawahi kudai kwamba nina uwezo mkubwa wa kufikiri by the way- wewe unayesema nina uwezo mdogo wa kufikiri na kushindwa kuonyesha mtu huyu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kwa nini, una uwezo mdogo zaidi yake.
 
Ukiongelea kuthibitisha nilishaanza mimi kukuuliza uthibitishe kama utupu upo.

Hujathibitisha bado.

Anza wewe.

Utupu upo nenda space kuna utupu kule. Kijana vipi unaishi dunia ya wapi.
 
Utupu upo nenda space kuna utupu kule. Kijana vipi unaishi dunia ya wapi.

Ushasema "space", kuna space, hakuna utupu.

Zaidi ya hapo space ina energy field, inayotoa virtual particles constantly.

Kwa hiyo ukiwa na space, huna utupu. Ukitaka utupu ondoa space.

Ndiyo maana nikauliza uelewa wa quantum physics, a basic understanding of quantum physics would help tremendously in shedding light on this question.
 
Sema "space" kwa kiswahili? Achana na stori za kikaenda kikarudi.

Nionyeshe hiyo energy ya space?

Niletee ushaidi wa space?

Sina muda na hizo particles kwasababu huto weza kuzithibitisha hapa?

Umesha kubali kuwa Utupu upo as long as ukiondoa "space".

Sasa kwanini unapinga "utupu"?
 
Wapi nimekubali kwamba utupu upo ukiondoa space?

Kuhusu energy ya space

Anzia hapa kwanza Vacuum energy - Wikipedia, the free encyclopedia

Pia ona http://scienceblogs.com/startswitha...rgy-than-everything-in-the-universe-combined/
 
Back
Top Bottom