Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Ni kweli kukosa ushahidi kwamba utupu haupo hakumaanishi kwamba haupo.

Lakini hata usipokuwapo, tutakosa ushahidi kwamba haupo, kwa sababu visivyopo havina ushahidi kwamba havipo, kwa sababu havipo ili kutoa ushahidi.

Kwa hivyo kinachohitajika ili kutupa habari za kueleweka ni kuonyesha ushahidi kwamba utupu upo.

Kwa utupu nakusudia ombwe, au kwa Kiingereza "vacuum", si utupu wa aina nyingine. Ashakum si matusi.

Unaweza kutoa ushahidi kwamba utupu upo?

kwanini usiwepo?


mtakosa na nani?

nani alileta neno utupu?


Sifa za vitu na hali za kufikirika ni zipi?

nipe sifa za vacuum?
 
Nimeanza kwa kuongelea dhana, dhana nayo ni kitu.

Kwa hiyo, utupu ni kitu kwa minajili ya kuwa dhana ya kufikirika. Ndiyo maana umeweza kuufikiria.

Kama dhana ya kufikirika ya mungu.

Hujanipa uthibitisho kwamba utupu upo.

unaweza kuufikiria bila dhana ukakosa kitu ukapata taswira ya kutaka kufikiria zaidi
 
kwanini usiwepo?

Kwa sababu hakuna aliyeweza kufanikiwa kuonyesha kwamba upo, kama unazo habari za mtu kufanikiwa kuonyesha kwamba utupu upo zilete hapa tuzijadili.


mtakosa na nani?

Wachunguzi makini wote.

nani alileta neno utupu?

Wahenga.


Sifa za vitu na hali za kufikirika ni zipi?

Hali za kufikirika ni seti ya vitu vilivyo katika mawazo.

nipe sifa za vacuum?

Sifa kuu ya vacuum nishakupa, ni dhana ya kufikirika isiyo na uhalisi.

Kama unaweza kuonyesha uhalisi wake kwa uthibitisho nakuomba unifahamishe kuhusu hilo. Ni mara ya tatu nakuomba hili bila jibu, hata kama jibu ni "siwezi" tu litatosha.
 
KUFALAZIMA nangojea uthibitisho wa kuwapo vacuum zaidi ya katika dhana ya kufikirika bado hujanipa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa sababu hakuna aliyeweza kufanikiwa kuonyesha kwamba upo, kama unazo habari za mtu kufanikiwa kuonyesha kwamba utupu upo zilete hapa tuzijadili.




Wachunguzi makini wote.



Wahenga.




Hali za kufikirika ni seti ya vitu vilivyo katika mawazo.



Sifa kuu ya vacuum nishakupa, ni dhana ya kufikirika isiyo na uhalisi.

Kama unaweza kuonyesha uhalisi wake kwa uthibitisho nakuomba unifahamishe kuhusu hilo. Ni mara ya tatu nakuomba hili bila jibu, hata kama jibu ni "siwezi" tu litatosha.

utupu unaelezeka,hauonekani ,haushikiki,upo bila kuwa na chochote
 
utupu unaelezeka,hauonekani ,haushikiki,upo bila kuwa na chochote

Mpaka hapo umebaki kwenye nyanja za kufikirika, sijasema kwamba utupu haufikiriki.

Nimeuliza kwamba utupu unathibitishika?

Hujaweza kuuthibitisha bado, uliyoandika yanaonyesha unaamini kwamba upo.

Imani si uthibitisho. Kuna watu wanaamini dunia ni bapa lakini kuamini hivyo hakufanyi dunia iwe bapa.

Unaweza kuthibitisha kwamba utupu upo kwa uhalisi nje ya dhana za kufikirika tu?

Elimu yako ya quantum physics imeishia wapi, kama ipo kwa kiwango chochote kabisa?
 
Mpaka hapo umebaki kwenye nyanja za kufikirika, sijasema kwamba utupu haufikiriki.

Nimeuliza kwamba utupu unathibitishika?

Hujaweza kuuthibitisha bado, uliyoandika yanaonyesha unaamini kwamba upo.

Imani si uthibitisho. Kuna watu wanaamini dunia ni bapa lakini kuamini hivyo hakufanyi dunia iwe bapa.

Unaweza kuthibitisha kwamba utupu upo kwa uhalisi nje ya dhana za kufikirika tu?

Elimu yako ya quantum physics imeishia wapi, kama ipo kwa kiwango chochote kabisa?

unathibitika endapo tunajua kweli ,bila ya kweli hauthibitiki mana hakuna anayejua kweli .

je kitu cha kufikirika kipo au hakipo? na kama hakipo kwanini ukifikirie


sio naamini kusipokuwa na chochote si utupu?


thinking is free and infinity but goes with levels ,acquring knowledge has no end maybe death,knowledge is endless
 
unathibitika endapo tunajua kweli ,bila ya kweli hauthibitiki mana hakuna anayejua kweli .

je kitu cha kufikirika kipo au hakipo? na kama hakipo kwanini ukifikirie


sio naamini kusipokuwa na chochote si utupu?


thinking is free and infinity but goes with levels ,acquring knowledge has no end maybe death,knowledge is endless

Hujathibitisha kwamba utupu upo nje ya kufikirika tu.
 
ukipewa swali unadhani ulijibu vipi au unafikiri ulijibu vipi? kudhani ni majibu ya kufikiri

Kulinganisha na lugha ya kiingereza

kudhani ni kuassume au kufanya conception, kufikiri ni ku think.

Huwezi kudhani bila kufikiri, wala kufikiri bila kudhani.

Ili kufikiri ni lazima u conceptualize at some level, ni lazima udhani.

Na ili udhani, ni lazima kutumia fikra, ni lazima ufikiri.

One can say the two are synonymous.
 
Unauliza kushoto wanakujibu kulia...
Hii ndo jf

Shetani au Lusifa alikaa mbinguni kipindi cha nyuma akiwa kama kiongozi wa sifa lakini baada ya Muda flani alitaka kuwa mkuu zaidi Mungu.

Ndipo Mungu akachukua Uamuzi wa kumtupa Duniani ndipo jamaa likaweka makazi yake duniani

Je hii inamaanisha kwa mfano(kwa maendeleo yaliyopo), wanadamu kadhaa wakaamia sayari nyingine, shetani hatakuwepo?

Ukizungumzia shetani unazungumzia na matendo ya kishetani mfano uuaji, ubakaji, chuki etc. Je havitakuwepo?
 
Hayo ndiyo maandiko ya vitabu vya Dini tumevikuta na tunaamini katika hilo ni jukumu lako sasa kukubali au kuacha.......kuhusu swala la dhambi nani kakueleza ya kuwa Shetani ndiye wa kulaumiwa........?come on mkuu........usinibebeshe yaliyopo kichwani mwako.....hayo ni wewe umeyapokea ulipaswa umuulize aliyekueleza hayo.....

Kiranga for example let's look at the Fallen Angels-Aliens.The Fallen Angels were still allowed by GOD to retain much of the knowledge and abilities that they were initially created with as Angels after their fall from GOD's Grace, and Heaven.

The Fallen Angels that do follow the leadership of Satan are also bound to follow and not break the same GOD given mandates as their leader Satan. Mandates which GOD instituted specifically as guidelines to best ensure that the Heavenly glories given did not become abused by any Angel anywhere in the Universe.

The Fallen Angels were still allowed by GOD to keep their original given ability to be physical after their fall. They are watched very carefully not to over step those mandates.
If they go outside the bounds and restrictions they are under, GOD will take away their physical capability. These beings then become what are known as ... Demons.

If GOD does chain a Fallen Angel to the spiritual realm, the Fallen Angel can never again experience being physical (through possessing a physical body) nor interact with the physical, and must live the rest of it existence in limbo as a mere spirit in the spiritual realm waiting upon final judgment. The Fallen Angel becomes what is known as an... Entity.

It is through this retained knowledge which allowed the Fallen Angels to become capable of physically creating their children that they would use to manifest the image of themselves within the Universe.

If the Aliens do abuse GOD's given mandates, they will become subject to the same repercussions that any Fallen Angel is subject to.
GOD does ensure the know-how, abilities, and powers that the Fallen Angels and Aliens do have are not used as a tool to deeply effect or greatly affect the overall success and outcome of wayward individuals.
GOD does require the same following of His given mandates by both the Fallen Angels and their created children to ensure misuse, abuse, or overstepping of their know-how, abilities, and powers does not become undertaken.
GOD does take immediate action ten-fold against any breakage of His given mandates.

The Aliens (Satan's kingdom of children) do only become introduced upon wayward planets by Fallen Angels when allowed by GOD.

GOD's decision to allow the Fallen Angels to introduce their creation of Aliens to actually take place upon any wayward planet is deeply influenced by two (2) important factors.
-1- When the degree of knowledge & Good that is gained and enhanced by the wayward concerning their surroundings and themselves does become so influenced by sin, and it cannot be used as a vehicle for the betterment of GOD's Good and themselves upon their planet as initially intended by GOD, but instead becomes used as a weapon of blindness, demise, and destruction.
-2- As the depth or the degree of spiritual blindness towards GOD, knowledge, and His Good does become accepted and enhanced by the actions and activities of sin upon planets, so does this cause for the attaining of Sons of GOD on those planets to become very much deeply hampered.
The Aliens have the ability and power to enslave the inhabitants of wayward planets, but do not seek to do so unless allowed by GOD.

The Aliens do establish very cunning deceptive undertakings to mislead and confuse mankind upon wayward planetary societies about their True goals and agenda. They do go to any possible extent allowed by GOD to establish and hide the reality of themselves and their agenda.
The degree of deception that GOD does allow the Aliens to accord upon any wayward planet does co-inside in proportion to the same degree of blindness unto GOD and His GODliness that the individuals and communities of the planet do accord.
Even 'If possible' seeking to tempt and deceive the very 'Elect'.

So in my own conclusion,shetani,the fallen angels-alien are given specific mandates by GOD and they are bound by them.Their task is to test the wayward individuals if they will fall prey to them.And the way I see,satan,the fallen Angels-aliens meet with God often to give GOD report on how many GOD's wayward individual have fallen prey by being Satan followers.So u can see the hidden agenda among GOD and Satan,Fallen angels-Aliens.Does this mean GOD also loves them like the way he loves human beings?Why would GOD Give them such mandates?
 
Back
Top Bottom