Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Mpaka hapo umebaki kwenye nyanja za kufikirika, sijasema kwamba utupu haufikiriki.

Nimeuliza kwamba utupu unathibitishika?

Hujaweza kuuthibitisha bado, uliyoandika yanaonyesha unaamini kwamba upo.

Imani si uthibitisho. Kuna watu wanaamini dunia ni bapa lakini kuamini hivyo hakufanyi dunia iwe bapa.

Unaweza kuthibitisha kwamba utupu upo kwa uhalisi nje ya dhana za kufikirika tu?

Elimu yako ya quantum physics imeishia wapi, kama ipo kwa kiwango chochote kabisa?

Wewe ndie uli kwenye kufikiria kwababu ya kutumia assumptions kwenye majibu yako. Huna ushaidi yakinifu zaidi ya bayana ambazo zinakupa ugonjwa wa kichwa kuzitetea.

Nikwambaia kwanini unatumia ignore list unapo shindwa mada, utaweza nijibu wewe?

Nikuuliza wapi ulipata ushaidi wa kupinga kischo kuwepo utaweza nipa ushaidi wewe?

You are blindly following a cult that can't support its diabolical belief. WEE NI TEGEMEZI KATIKA kufikiria na IMANI YAKO ya kupinga MUNGU ambaye hayupo. Only cowards and fo'ols does that.
 
Wapi nimeandika sitaki ujuzi ambao uko verifiable?

Kipi kimekufanya udhani hivyo?

Kuna ujuzi ambao hauko verifiable?

Kama unadai wewe ni "msomi" ili tuhitaji kuwa na HAKIKA tuitahitaji ushahidi ambao uko verifiable na waliokupa usomi

Kama hutakuwa na huo ushahidi tutakuona unaleta longolongo tu

Hapa huyu jamaa amekuambia kuwa anajua mambo ya Quantum physics
Hukumuelewa unataka akuambi kiwango cha ujuzi wake

Unaposema unataka kiwango tayari unakuwa unataka akupe kiwango cha uelewa wake wa mambo hayo ambao utakuwa umepimwa tayari ndio maana umetaka "kiwango"

Na kiwango kina kile kilichopimia ambacho ni lazima aambatanishe na uthibitisho wa hicho kiwango ambacho alipimiwa

Au hujui ulichouliza?
 
Kipimo cha uelewa na logical consistency.

Hujajibu swali, unaelewa quantum.physics kwa kiwango kipi?

Quantum physics ime settle suala.la utupu as stated above.

huwezi pima uelewa kama hujamuelewa mtu,uelewa wako kutoridhiana na mwingine pia ni tatizo

kiwango cha jinsi utakavyopima

define hiyo mambo ya energy ntakuambia kitu
 
Kama unadai wewe ni "msomi" ili tuhitaji kuwa na HAKIKA tuitahitaji ushahidi ambao uko verifiable na waliokupa usomi

Kama hutakuwa na huo ushahidi tutakuona unaleta longolongo tu

Hapa huyu jamaa amekuambia kuwa anajua mambo ya Quantum physics
Hukumuelewa unataka akuambi kiwango cha ujuzi wake

Unaposema unataka kiwango tayari unakuwa unataka akupe kiwango cha uelewa wake wa mambo hayo ambao utakuwa umepimwa tayari ndio maana umetaka "kiwango"

Na kiwango kina kile kilichopimia ambacho ni lazima aambatanishe na uthibitisho wa hicho kiwango ambacho alipimiwa

Au hujui ulichouliza?

Msomi ni nani?

Wapi nimedai mimi ni msomi?
 
huwezi pima uelewa kama hujamuelewa mtu,uelewa wako kutoridhiana na mwingine pia ni tatizo

kiwango cha jinsi utakavyopima

define hiyo mambo ya energy ntakuambia kitu

Hujajibu swali.
 
Unajua context ni kitu gani?

Context ina uhusiano gani na swali langu?

Mimi nimemuuliza mtu uelewa wake wa quantum physics umeishia wapi.

How do you equate that na mimi kusema ni msomi?
 
Context ina uhusiano gani na swali langu?

Mimi nimemuuliza mtu uelewa wake wa quantum physics umeishia wapi.

How do you equate that na mimi kusema ni msomi?
Hujajibu nilichokuuliza
Umetoa maelezo ambayo hayasaidii mimi kupata jibu langu

Unajua context ni kitu gani?
 
What if the logic is false

First show that it is false, mtu hujatuambia unaelewa quantum physics kwa kiwango gani unataka kukataa on the basis of false logic kitu ambacho hata hujatuonyesha kwamba unakijua?

Huku kama si kukumbatia ujinga ni nini?
 
Kwa nini umefikiri kuna huyo na uelewa huu ni wa "nani"?
Kwanza uelewa ni matokeo ya kufikiri
Ili uelewe ni hadi ufikiri

Kwasababu umesema kipimo ni uelewa basi uelewa ni wa fulani yaani mtu
Kwasababu mtu ndie anaefikiri kisha kuelewa

Sina ushahidi wa kingine ambacho kinafikiri na kuelewa
Kama sio niambie uelewa ni kitu gani!
 
Ukiongelea kuthibitisha nilishaanza mimi kukuuliza uthibitishe kama utupu upo.

Hujathibitisha bado.

Anza wewe.

ondoa space utauona

thibitisha sijajibu swali previous uliposema sijajibu
 
Kwanza uelewa ni matokeo ya kufikiri
Ili uelewe ni hadi ufikiri

Kwasababu umesema kipimo ni uelewa basi uelewa ni wa fulani yaani mtu
Kwasababu mtu ndie anaefikiri kisha kuelewa

Sina ushahidi wa kingine ambacho kinafikiri na kuelewa
Kama sio niambie uelewa ni kitu gani!

Jamii inaweza kuelewa hivi na kufikiri hivi, si lazima awe fulani.
 
Back
Top Bottom