"Ninayo mwenyewe" si jibu la swali nililouliza.
Umenipa jibu la swali ambalo sijauliza, nililouliza hujajibu.
Hujajibu swali, una elimu ya kiwango gani katika quantum physics?
Maana concepts nyingine hizi kwa mtu asiyefahamu hata the basics za quantum physics kumuelezea ni zaidi ya kujaribu kumpigia gitaa mbuzi.
Nini umuhimu huyo jamaa kutaja kiwango chake cha uelewa wa Quantum Physics?"Ninayo mwenyewe" si jibu la swali nililouliza.
Umenipa jibu la swali ambalo sijauliza, nililouliza hujajibu.
Kwanini usimwambie hayo unayotaka kumwambia na ajikoroge ili uone kuwa hajui?
Kwanini unamwambia ataje kitu ambacho YEYE anasababu za kutokukitaja?
Nini umuhimu huyo jamaa kutaja kiwango chake cha uelewa wa Quantum Physics?
Kama unadhani hajui hizo Basics zake wewe mwaga hicho unachotaka kusema halafu tutaona
Kuna weengine elimu na ufahamu wa mambo mbali mbali hawajifunza kwa namna za kishule hivyo viwango vyao vya elimu waliyopata havina kipimo cha kishule unachokijua wewe hivyo kuwadai wakuambie kiwango [ambacho ni kile cha kishule] ni kama kuwazuia wasijadili jambo ambalo wana ufahamu nalo
Sema unachotaka kusema kijana!
Umejuaje kwamba kiwango ninachokiongelea ni cha kishule?
nishakujibu
quantum physics ni knowledge ya watu walika wakafikiri wakagundua
wewe umesoma walichogundua wenzako bila we kujua bali kuwasikiliza kuwaelewa na kukariri
am a human i got brain too i can think and measure
Ni cha namna gani?
Cha ujuzi.
Akiwa hana viambatanisho kama vile vyeti itakuwaje?
Kwanza hujajibu swali bado, hujasema unaelewa quantum physics kwa kiwango gani, ungejibu hili tungepata pa kianzia maana suala lako la utupu limejikita na kujibiwa vizuri katika quantum physics.
Halafu suala la kwamba aliyegundua ni nani ni irrelevant, suala relevant ni kama hizo habari zina mantiki au hazina.
Ninavyokwambia kwamba utupu ni jambo la kufikirika tu, hiyo ni established quantum physics.
Viambatanisho kama vyeti havihusiani na ujuzi, vinahusiana na shule.
Unaweza kuwa na ujuzi bila vyeti, na unaweza kuwa na vyeti bila ujuzi.
Ndiyo maana naongelea ujuzi, ambao hauhusiani moja kwa moja na vyeti wala shule.

craming is a core problem we toa facts elimu yangu haikuhusu utaijudge hapa
habari ingetoka wapi bila kugundua?
they say establish mana uwezo mdogo
Kwanza hujajibu swali bado, hujasema unaelewa quantum physics kwa kiwango gani, ungejibu hili tungepata pa kianzia maana suala lako la utupu limejikita na kujibiwa vizuri katika quantum physics.
Halafu suala la kwamba aliyegundua ni nani ni irrelevant, suala relevant ni kama hizo habari zina mantiki au hazina.
Ninavyokwambia kwamba utupu ni jambo la kufikirika tu, hiyo ni established quantum physics.
unatumia kipimo gani kujua kiwango cha ujuzi wa mtu nje ya elimu ya shule?
Hakuna shetani wala mungu by all sane accounts.
Ni hadithi za kutungwa na binadamu tu.
Hutaki ujuzi ambao uko verifiable?
Nikikuambia sasa hivi kuwa mimi nina PhD utakubali?
Hujathibitisha kwamba utupu upo nje ya kufikirika tu.
Dogma fallacy
Umekuja na jina lingine mara?
Na hili linaenda kwenye ignore list.