Chanzo cha maisha nimeki address kwamba sikijui hapo juu, kuna theories za kisayansi ambazo bado zina maswali.
Mema na maovu ni yapi?
Mwanadamu anapochinja kuku ili kupata chakula hilo ni jema au ovu? Kwa nani?
Watu kuwa na mapepo na majini kunawwza kutokana na magonjwa ya akili na.kisaikolojia ambayo hayajawa diagnosed tu, wengine wako hypnotysed in some way, wengine wana stage tu, na hata kama hatujaelewa nini kinatokea, cha kufanya si kutoa majibu rahisi kwamba ni kazi ya shetani au mungu, bali kufanya uchunguzi kutafuta majibu ya kweli.