Unaweza kumfafanua huyu Mungu ili yoyote yule amuelewe?Nimeandika kwamba nimeanza na Judeo-Christian godhead.
Sijui unamaanisha kitu gani hapaAmbaye hujaweza kumthibitisha kwamba yupo.
Huyu nae ni yupi?Yeye wala mwingine yeyote.
Ni kweliKushindwa kuonyesha kitu kipo si ushahidi kwamba kipo.
Kudai tu "kisichopo" pekee kunadai ushahidi kwasababu kuna kilichokufanya udai hayo madaiKisichopo hakina ushahidi kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.
Kwenye nini?Kama mimi nina tatizo nionyeshe liko wapi.
!
!
sasa bwana wewe hebu niambie....unafikiriaje kuhusu hii inshu. Kwamba Shetani yupo au hayupo?
Nimeeleza hapo juu.
Hakuna shetani wala mungu by all sane accounts.
Ni hadithi za kutungwa na watu tu.
!
!
kwa kufuatilia misingi ya hoja zako nadhani umewatupa mbali mno waliojaribu kusema yupo uko vizuri na nikupongeze kwa hilo. Tuhame kidogo basi......
sasa kama zote ni hadithi za kutungwa ni nini chanzo cha Maisha?
tafadhali mkuu nifafanulie
Sijui.
Ila theory ya mungu kama chanzo cha maisha inashindwa kujitosheleza.
!
!
kama Mungu wala Shetani hawapo ni nini basi chanzo cha Maisha!?
nini chanzo cha mema na maovu?
unazungumziaje vituko vituko kama watu kuwa na mapepo majini au mtu kuwa mchawi?
tafadhali bwana kiranga karibu?
Sijui.
Ila theory ya mungu kama chanzo cha maisha inashindwa kujitosheleza.
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
Chanzo cha maisha nimeki address kwamba sikijui hapo juu, kuna theories za kisayansi ambazo bado zina maswali.
Mema na maovu ni yapi?
Mwanadamu anapochinja kuku ili kupata chakula hilo ni jema au ovu? Kwa nani?
Watu kuwa na mapepo na majini kunawwza kutokana na magonjwa ya akili na.kisaikolojia ambayo hayajawa diagnosed tu, wengine wako hypnotysed in some way, wengine wana stage tu, na hata kama hatujaelewa nini kinatokea, cha kufanya si kutoa majibu rahisi kwamba ni kazi ya shetani au mungu, bali kufanya uchunguzi kutafuta majibu ya kweli.
hautapata majibu ya kweli mpaka ujue ukweli ni nini?
UKWELI NI NINI?
Mtenda dhambi si adui wa shetani bali mtenda mema
Ukweli ni hali halisi.
nipe hali halisi ya utupu
uko sahihi mkuu, rafiki wa shetani ni mtenda dhambi, hivyo yeye ndio rahisi zaidi kumjua shetani.
Utupu ni dhana ya kufikirika, hakuna ushahidi kwamba kuna kitu kama utupu.
Ni dhana ya kufikirika kama mungu.
kukosa ushaidi haimaanishi kwamba hakuna utupu ,maana utupu unatasfiri pia,utupu ni nini?
umejuaje utupu ni kitu?Utupu ni dhana ya kufikirika, hakuna ushahidi kwamba kuna kitu kama utupu.
Ni dhana ya kufikirika kama mungu.
umejuaje utupu ni kitu?