Mungu atabaki kuwa 'the most intelligent designer of all times', embu fikiria 'space,time and earth' ; dunia na sayari zingine zipo kwenye 'equillibrium ' kiasi kwamba hazigongani kwenye njia zao kutokana na jinsi Muumbaji alivyozipanga. Sisi binadamu na Maada zote zina mwanzo; kuna kitu au muumbaji alievianzisha vyote kwa sababu anazozijua mwenyewe! hakuna kitu kinachojiunda bila kuundwa kwanza au kinachozunguka bila kuzungushwa. dunia inajizungusha yenyewe na inazunguka jua! Newton's 1st law of motion " an object will either remains at rest or continues to move at constant velocity unless an external force act on it" nani alianza kuizungusha dunia na ku maintain balance? ni creator pekee wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Shetani ni roho - hivyo haonekani kwa macho. Lakini anajidhihirisha katika maovu mbalimbali wafanyayo watu aliowavaa kama ubakaji wa watoto, uuaji, ubinafsi usiojali kuumiza wengine, na kadhalika.
Imani kila mtu ana yake.
Unaruhusiwa hata kuamini mungu ni.funza aliye mguuni mwa babu yako.
As long as ni imani that does not concern me.
Maswali yangu yanajikita kwenye kutafuta ujuzi zaidi ya imani.
Natumaini unaelewa tofauti.
ni kweli imani kila mtu anayake kutegemeana na mazingira na mapitio ya maisha yako, mimi nimelelewa katika maadili ya kiimani ya kumuamini Mungu mmoja tu, pia mwili wangu utakufa isipokuwa roho itabaki milele ;mbinguni au motoni. ila sijafundishwa undani wa chanzo ( kama kipo ) cha Mungu na Shetan,hili linabaki kuwa fumbo la imani kama ilivyo maisha ya huko mbinguni au motoni.
Mungu atabaki kuwa 'the most intelligent designer of all times', embu fikiria 'space,time and earth' ; dunia na sayari zingine zipo kwenye 'equillibrium ' kiasi kwamba hazigongani kwenye njia zao kutokana na jinsi Muumbaji alivyozipanga. Sisi binadamu na Maada zote zina mwanzo; kuna kitu au muumbaji alievianzisha vyote kwa sababu anazozijua mwenyewe! hakuna kitu kinachojiunda bila kuundwa kwanza au kinachozunguka bila kuzungushwa. dunia inajizungusha yenyewe na inazunguka jua! Newton's 1st law of motion " an object will either remains at rest or continues to move at constant velocity unless an external force act on it" nani alianza kuizungusha dunia na ku maintain balance? ni creator pekee wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Kushindwa kuelezea kitu,jambo au tukio ni kitu kingine na kuwepo kwa kitu,jambo au tukio ni kitu kingine piaSome are difficult to explain because they are not real.
Like a square circle in Euclidean geometry.
If you can't explain god, you can't claim to know he exists.
Just as if you can't explain the above square circle, you can't claim to know it exists.
Kushindwa kuelezea kitu,jambo au tukio ni kitu kingine na kuwepo kwa kitu,jambo au tukio ni kitu kingine pia
Kushanganya hayo mawili ni kosa litakalopelekea hitimosho lenye makosa
Unaweza kushuhudia jambo lakini ukashindwa kulielezea
Hiyo haimaanishi halipo
Unaweza kufuata jambo bila kujua sababu ya kulifuata lakini haimaanishi kuwa jambo hilo halipo au ulidanganywa
Jambo kuwa ni uongo nikitu kingine na kushindwa kulitolea maelezo jambo ni kitu kingine!
Na sijapewa uthibitisho kwamba mungu yupo bado.
Kwanini unataka upewe?
Na kuna sehemu ambapo seti ya visivyoweza kuelezewa na visivyopo zinaingiliana. Kitu kinashindwa kuelezewa kwa sababu hakipo.
Na kila ushahidi unaonyesha hapa ndipo alipo huyu mungu, at least by the proposed Judeo-Christian characteristics.
He is like a square circle in Euclidean geometry.
Kwa sababu ndiyo njia ya kuthibitisha uwepo wa mungu.
Nikishindwa kukupa juicy ya pilipili sasa hivi hiyo juicy itakuwa haipo?
By the way,kwanini usitafute mwenyewe?
Suala si kunipa juce, ni kunionyesha kwamba ipo.
Sikuulizi um produce mungu, bali unionyeshe kwamba yupo.
Ukishindwa utakosa ushahidi kwamba ipo.
Huwezi kusema kitu kipo mpaka uweze kuonyesha kwamba kipo.
Ama sivyo tutajuaje kwamba unachosema kipo kipo kweli, na si kitu unachosema tu kwamba kipo bila kuwapo kweli?
Mimi nimetafuta for the last 21 or so bila mafanikio.
Kushindwa kukuonesha ni pamoja na kushindwa kuitengeneza
Lakini naweza kukuonesha ambayo sijaitengeneza
Hata nikishindwa kukuonesha na kushindwa kuitengeneza bado sio ushahidi wa kutokuwepo juicy ya pilipili
Kikubwa zaidi naweza kujua uwepo wa kutu na nikashindwa kukuonesha lakini kikawepo bado
Tatizo sio la kitu bali ni langu mimi kushindwa kukuonesha wewe
Lakini pia inawezekana wewe ndio mwenye tatizo kwakuwa macho yako hayaoni vizuri
Unaweza kuliona gari lina rangi 40 zinazobadilika badilika
Wakati mimi naliona gari lile lile na lina rangi moja tu
Ukadai nikuoneshe namna lina rangi moja nitashindwa tu kwasababu ya ubovu wa macho yako
Kushindwa kwangu kukupa ushahidi sio uthibitisho wa kutokuwepo bali kuna tatizo ulionalo wewe ambalo hujalijua bado
Kwenye hatua hii bado utaendelea kusema gari lina rangi 40 wakati mimi naliona lina rangi moja
Suala la kujua ninachosema kipo au hakipo sio suala langu ni lako wewe mwenye uhitaji wa kujua uwepo wake wakati mimi najua kipo
Wewe kutafuta uwepo wa kitu kwa miaka 21 sio ushahidi wa kutokuwepo
Unapotafuta kitu kwanza unatakiwa ujue unatafuta nini ili ujue pa kukitafutia
Unaweza kuwa unatafuta maji mahali ambapo kuna moto unaowaka,hautayapata kamwe
Ili uyapate hayo maji ni hadi ujifunze maji ni kitu gani na yanapatikana maeneo yapi
Sijui wewe unajua Mungu ni kitu gani hadi uje JF kutaka uthibitisho
Sijui unauhakika Mungu anaweza kuthibitishwa JF au "unaamini" inawezekana!
Kama kila complexity inahitaji muumba, then muumba huyo naye atakuwa complex na kuhitaji muumba.
Na mungu atahitaji kuwa na muumba, na muumba wake atahitaji kuwa na muumba wake, ad infinitum, ad absurdum.
Your argument is a self defeating one.
!
!
sasa bwana wewe hebu niambie....unafikiriaje kuhusu hii inshu. Kwamba Shetani yupo au hayupo?