Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
Dah bro hii ni pasaka , nashukuru kwa kuniongezea siku .Mama yangu anafanya hii kitu plus mitego kila kona. Anaweka masinia na masufuria milangoni na madirishani. Bila kusahau filimbi chini ya mto
Wezi wa sasa si wajinga wana gps detectorsNow days zipo GPS unaiweka ndani ya TV na unauwezo wa kutafuta na kuipata kama vile simu ilioibiwa
Hata ya chogo unaweza kuweka GPRS tracking device.Pole sana lkn hiyo tv yako haikua smart na kama ilikua kwa nini huku unganisha na GPS iliiwe rahisi kutrack au upo nyuma sana kwenye mambo ya technology
Huna picha zake ndugu? Mimi nazitaka ili wanakijiji waseme mimi mchawiKuna alarmsystems zinauzwa Alibaba, zinatumia solar, ni vidogo ila wapuuzi wakikaribia tu usiku kinapiga kelele za kufa MTU. Lazima utaamka tu. Vinauzwa pesa ndogo kama dollar 10 hivi
Wateja wa tv mikononi bado wapo?kama bado wapo basi wezi hawawezi kuisha.wezi wa tv bado wapo?
Niliwaona ila walivaa masks hatujawagundua. Waliwawekea sumu na kuwapulizia dawa. Hata sisi vyumbani walitupulizia dawa. Tumekuja kupata fahamu saa nne asubuhi.Mbwa wako hawajapewa mafunzo ndugu.
Kwenye camera uliwaona wezi wako waliokuibia?
Hamna hii imesetiwa ikiona hali tofauti yenyewe inapiga picha haijarishi ni mda ganKwann usiseti timer yaani iwe active kufanya hiyo command muda ule ambao unataka.
Jini kiwete au Jini yupi?Nicheki nikuunganishe upewe jini kwenye chupa
Jamaa walipitia getini tukio lilitokea 2018 na walicheza na utaalam wa juu sana kwenye kufungua geti kiasi kwamba ilibidi aliyefunga electric gate akamatwe ingawa pia alionekana hausiki. Ndani ya nyumba kulikuwa na gari nne ila wakatoka na moja waliyoitaka. Walinipigia hesabu zaidi ya miezi miwili kwani kuna siku walishafanya attemp ya kuliiba hilo gari ofisini Posta miezi miwili kabla ya kuja kulichukua home.Uongo huu..hao walikuwekea security fake. Ile waya inapiga shoti ya hayari na alarm mtaa mzima wataamka. Na seting yake umeme ukiondolewa kwa njia yoyote inapiga alarm hakuna namna wanaweza kufanya kwenye fence ya umeme, labda hiyo uliwekewa ya buza kwa mama kibonge. CCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigia simu kukuamsha.
Nyumbani wote tulifanyiwa investigation kwa kupitia wataalam wa cyber crimes na gereji na sehemu zote nilizokuwa napaki walichukua namba zao za simu. Kuna mfumo wakichunguza huchomoki lakini wapi hawakupata kituUsikute mke wako alichora ramani na hao wezi.
Emu niambie mfano umeweka electric fence kwa mtaalamu anaejua kazi yako uyo mwzi ataichezeaje ili aweze kukata waya bila ya kin'gora kulia na wenye nyumba kushtuka...? Au bila kuogwa shotiHizo electric fence na CCTV camera wezi wanajua kuzichezea sema tu wasikuamulie, hizo sio kitu kwa mwizi alieamua kukuibia
Kaka walitupulizia dawa bastola hapo itasaidia nini? Uzuri waliishia nje kwenye parking ya magariPole Sana Mkuu Kama upo na Bastola muhimu na kuweka mlinzi hata Masai aisee pole sana
Tatzo hao wanatafuta mafundi ambao hata hawajui kufanya installation maana wanawekewa kwa bei rahisi mwsho wanaibiwa na wanasema eti electric fence haina maana au wez wanaichezea hawa jamaa vpJamaa walipitia getini tukio lilitokea 2018 na walicheza na utaalam wa juu sana kwenye kufungua geti kiasi kwamba ilibidi aliyefunga electric gate akamatwe ingawa pia alionekana hausiki. Ndani ya nyumba kulikuwa na gari nne ila wakatoka na moja waliyoitaka. Walinipigia hesabu zaidi ya miezi miwili kwani kuna siku walishafanya attemp ya kuliiba hilo gari ofisini Posta miezi miwili kabla ya kuja kulichukua home.
Mpaka leo sijalipata hilo gari na nimesha-give up
Sikai uswahilini na sio ushuani kivile ni maeneo ya uchumi wa kati. Wezi wali-originate Posta napopaki nikiwa ofisini wakachora ramani wakaja kulikwapulia homePole Sana Mkuu , kama unakaa uswahilini hakikisha Mali zako Kama Tv unanunua then unaongia nayo usiku nyumbani.
Ule waya haukatwi maana ukiugusa vibaya tu Alarm inapiga na Alarm ni king'ora km gari ya Ambulance, pia waya unapiga shot kubwa yaan umeme wake ni mkubwa kiasi Cha kuua na kuchoma usicheze na zile waya mkuu we zione vile vile tuEmu niambie mfano umeweka electric fence kwa mtaalamu anaejua kazi yako uyo mwzi ataichezeaje ili aweze kukata waya bila ya kin'gora kulia na wenye nyumba kushtuka...? Au bila kuogwa shoti
Kuwazuia haiwezekani labda kuwapunguza.Habari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.
Kiukweli hii hali inaumiza sana.
Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.
Zile waya zinachezewa vizuri tu na wezi wanapita usibishe mkuu, siku hizi dunia ni km Kijiji tu hakuna kinachoshindikana km huna ujuzi usiguse zile waya, wezi hujaribu km zina Moto au hazina moto kwa kumpandisha nyoka km nyoka akiungua wezi hawagusi zile wayaTatzo hao wanatafuta mafundi ambao hata hawajui kufanya installation maana wanawekewa kwa bei rahisi mwsho wanaibiwa na wanasema eti electric fence haina maana au wez wanaichezea hawa jamaa vp
Bima ya Vyombo vya Electronics au?Kuwazuia haiwezekani labda kuwapunguza.
Solution: katia bima vitu vyako vyote hii ni njia salama maana hata ukiibiwa bima itakurudisha ulipokuwa, na kwa gharama ya hiyo TV bima haiwezi kuzid lak moja kwa mwaka
Pole
Mzee kwangu sijaweka kitu fake hata kimoja. Hata hiyo gari waliiba kwa sababu ya gharama yake. Vitu vyote vilifanywa na kampuni kubwa na nililipiwa na ofisi kama sehemu ya usalama wangu.Tatzo hao wanatafuta mafundi ambao hata hawajui kufanya installation maana wanawekewa kwa bei rahisi mwsho wanaibiwa na wanasema eti electric fence haina maana au wez wanaichezea hawa jamaa vp