msaada kuhusu mediacom MFT910 receiver

msaada kuhusu mediacom MFT910 receiver

Sajo

Platinum Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
4,545
Reaction score
8,262
Nina hii receiver(ni zile fupi-sio pana),ila cha ajabu on tbc nina option 3 tu za radio,ile ya nne(clouds fm) haipo,mi nlijua wamejitoa on satellite juzi nimeenda kwa mshkaji yeye ana mediacom ndefu ile nikaona kuna option hiyo ya nne katika tbc,yaan clouds fm inashika..cha ajabu na yeye kwenye star tv anapata only one audio channel..yaan star tv yenyewe,RFA na Kiss fm hazishiki..sasa nashangaa why hizi vitu hazipo kama on other receivers?na nikare-scan jana nikidhan labda audio 4 ingeongezeka kwangu ila wapi..naomba msaada na ufafanuzi wa hili
 
hiyo ni ya mchina tafuta olijino

Great thinking ndio unatoa majibu ya namna hiyo?kwa hiyo hizi kiss fm na stations nyingine ambazo ninzaipata ni za kichina pia?kama unafahamu toa jibu la kitaalam kama hujui pita tu,sio lazima wote tuimbe..oh,sio lazima uchangie kama hujui kitu
 
Great thinking ndio unatoa majibu ya namna hiyo?kwa hiyo hizi kiss fm na stations nyingine ambazo ninzaipata ni za kichina pia?kama unafahamu toa jibu la kitaalam kama hujui pita tu,sio lazima wote tuimbe..oh,sio lazima uchangie kama hujui kitu

Unategemea jibu gani la kitaalamu wakati mtaalamu wa risiva ni mchina.Umekwishaambiwa hiyo ni ya kichina wewe unataka kukuza mjadala wakati umekwishajibiwa kama unataka muujiza wa kushika hizo stesheni za redio ipeleke kwa mzee wa upako.
 
Labda ucheck signal strength ya hiyo satellite inayotuhudumia channel za bongo. Kama iko low (labda 50+) ni kucheza na dish ili ipande to the maximum available mradi uhakikishe hupotezi channel zingine. Kisha search uone kama hizo FM signals zitakamata. Siku njema.
 
Jaribu hivi: Nenda kwenye Option Ya Audio katika Remote yako ya Media com zitatoka Option ya TV pamoja na za Radio... Nenda kwenye option ya 1 change to Stereo, right halafu Left kwa kila Option, Nimesema hivyo kwa sababu Option 1 inaweza ikawa na redio 1 mpaka 2 na wakati mwingine redio Tatu: mfano niki-change kwenye Stereo nakuta radio na vilevile kwenye Right pamoja na Left unakuta redio. Jaribu.
 
Enhee, apo apo! Nina swali kuhusu hizi mediacom, samahanini lakini.
eti, Hivi hizi tunaziweka upande wa Digital au Analogy!?..mana naona dar baada ya kuzimwa analogy mambo yakachenji.
Kingene, eti..bei yake kwa sasa ni tsh ngapi kwa full yan rciva+dish?
 
Hizo receiver ndivyo zilivyo,cha msingi badili hamna utaramu hapo hata uaupdate hamna kitu,chukua Strong tu!
 
Back
Top Bottom