Msaada kuhusu malipo kwa visa card za bank

mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
135
89
Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA .

SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika kujaza taarifa nyingi zikiwemo card namba, code namba za siri za kadi yangu.

Wasiwasi wangu ni kuwa naogopa kwa kuhis baada ya manunuzi wale wenye site siku yoyote wanaweza wakanikata kiasi chochote cha fedha kwa sababu watakuwa wanataarifa za kutosha za kadi yangu kiasi cha kuwawezesha kuiba fedha kwenye akaunt yangu.

NIKO TAYARI KUSAHIHISHWA KAMA NIMKEKOSEA
 
Usalama upo...ila kudaiwa hadi namba za Siri? Site gan hyo imekuomba namba za siri?
 
kama una wasisi fungua Visa A/c nyengine kisha uwe una itumia Rasmi kwa kufanya malipo mitandaoni
 
kama una wasisi fungua Visa A/c nyengine kisha uwe una itumia Rasmi kwa kufanya malipo mitandaoni
Nahitaji kufanya manunuzi mara moja . sidhani kama nitafanya manunuzi mengi kwa visa
 
Nahitaji kufanya manunuzi mara moja . sidhani kama nitafanya manunuzi mengi kwa visa
malipo yoyote utakayo fanya mtandaoni lazima
wakuombe ujaze hizi details

•Card Number
•Expiry Date
•Security Code/CVV

na ndo hua tuna fanya hivi uko kwenye kuibiwa umewaza wewe wengine hatujawahi ibiwa
waswahili wanasema wasisi ndo akili

jambo unaona halija kaa sawa angalia option nyengine nimesha kupa opt ya kwanza na ya mwisho ukiona ina faa bas tumia hizo Virtual Cards za Master ya Voda/airtel

am out!!!....
 
Hayo yote ni maswali ya kawaida wanayouliza kampuni zote
Ila hakikisha ni kampuni inayojulikana
 
kuna zile namba tatu za mwisho kwenye kadi
Zinaitwa Card Security Value (CSV) ni digits tatu, Ushauri wangu ni kuwa tenganisha Saving card Na Card za kufanya Transaction online just incase ukitaka kununua kitu una deposit Na kununua acc unaiacha tupu mana scammers are everywhere watch out, hakikisha pia sites unazoingiza Izo Bank details ni Credible kwa kucheki URL ya site so far pia nakushauri utumie third party kama Ali pay au Pay pal mana wao ndio wanabeba dhamana ya pesa yako epuka kulipa direct kwa cards, Serious service provide wana pay pal as their option
 
malipo yoyote utakayo fanya mtandaoni lazima
wakuombe ujaze hizi details

•Card Number
•Expiry Date
•Security Code/CVV

na ndo hua tuna fanya hivi uko kwenye kuibiwa umewaza wewe wengine hatujawahi ibiwa
waswahili wanasema wasisi ndo akili

jambo unaona halija kaa sawa angalia option nyengine nimesha kupa opt ya kwanza na ya mwisho ukiona ina faa bas tumia hizo Virtual Cards za Master ya Voda/airtel

am out!!!....
Asante mkuu nitaangalia namna ya kufanya. ila nilitaka kununua app ya android kwenye play store app yenyewe inaitwa print share
 
as
Zinaitwa Card Security Value (CSV) ni digits tatu, Ushauri wangu ni kuwa tenganisha Saving card Na Card za kufanya Transaction online just incase ukitaka kununua kitu una deposit Na kununua acc unaiacha tupu mana scammers are everywhere watch out, hakikisha pia sites unazoingiza Izo Bank details ni Credible kwa kucheki URL ya site so far pia nakushauri utumie third party kama Ali pay au Pay pal mana wao ndio wanabeba dhamana ya pesa yako epuka kulipa direct kwa cards, Serious service provide wana pay pal as their option
asante
 
Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA . SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika kujaza taarifa nyingi zikiwemo card namba, code namba za siri za kadi yangu. wasiwasi wangu ni kuwa naogopa kwa kuhis baada ya manunuzi wale wenye site siku yoyote wanaweza wakanikata kiasi chochote cha fedha kwa sababu watakuwa wanataarifa za kutosha za kadi yangu kiasi cha kuwawezesha kuiba fedha kwenye akaunt yangu. NIKO TAYARI KUSAHIHISHWA KAMA NIMKEKOSEA
Kama kuna option ya mastercard tumia ya mpesa au airtel money
 
Usitumie account yako main, si tu usalama wa online, Hizi bank zina mambo ya kipuuzi na hidden fees, unaweza siku ukaamka ukakuta Hela imechukuliwa yote na Kuna negative,
 
Usitumie account yako main, si tu usalama wa online, Hizi bank zina mambo ya kipuuzi na hidden fees, unaweza siku ukaamka ukakuta Hela imechukuliwa yote na Kuna negative,
Niliexperience hili kipind kile unanifundisha online purchase ,kesho yake nilikiwasha sana crdbbenk ikawa mtiti mkubwa,jana nimetoa kwa akaunt laki saba na 70 na nilikua na laki nane crdb leo natizma nimekuta nina hasi buku ,
Hii kesi sio mara moja ila ukifuatilia hukosi cha kujibiwa
 
Usitumie account yako main, si tu usalama wa online, Hizi bank zina mambo ya kipuuzi na hidden fees, unaweza siku ukaamka ukakuta Hela imechukuliwa yote na Kuna negative,
Asante sana mkuu. Laki vip kwenye kuibiwa baada ya kutoa security cord
 
Back
Top Bottom