Msaada kuhusu malipo kwa visa card za bank

Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA .

SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika kujaza taarifa nyingi zikiwemo card namba, code namba za siri za kadi yangu.

Wasiwasi wangu ni kuwa naogopa kwa kuhis baada ya manunuzi wale wenye site siku yoyote wanaweza wakanikata kiasi chochote cha fedha kwa sababu watakuwa wanataarifa za kutosha za kadi yangu kiasi cha kuwawezesha kuiba fedha kwenye akaunt yangu.

NIKO TAYARI KUSAHIHISHWA KAMA NIMKEKOSEA
Ndo maanaake hata paypal yenyewe mimi siiamini japo wanasema ni salama.apo chakufanya nikufungua akaunti nyingine ya manunuzi tu ili utakapotaka kufanya manunuzi unaihamishia ela kutoka kwenye akaunti nyingine
 
Paypal ni salama saaana. Kwanza paypal wanamjali mteja kuliko mfanyabiashara ndiyo maana ukinunua kitu ela wanakata ila mteja hawaimwachii mpaka uconfirm umekipokea au kana ni mzigo aweke tracking number wajue kama umekufikia. Na mteja akiomba refund probability ya kurudishiwa pesa ni kubwa .
Paypal bi safe zaidi kwa mlipaji kuliko mpokea pesa.
 
Yea lakini sio pakujiachia sana siku mtu ukijambishwa uchungu wa ela ndo utajulikana.better taking the risk of trusting them only 50%
 
Yea lakini sio pakujiachia sana siku mtu ukijambishwa uchungu wa ela ndo utajulikana.better taking the risk of trusting them only 50%
Paypal ni reputable company mkuu, na wala haibaki na pesa yako inakata kiasi kianachotakiwa directly from your debit card kwenda kwenye akaunti ya paypal ya unayemlipa, ambapo hicho kiasi anakipokea ila kinabaki kwenye hold kama ni bidhaa inabdi ajaze tracking number, kama ni huduma nyingine inabidi baada ya siku tatu ukubali kuwa umeipokea ndo wanaiachikia, kama labda unalipia hosting itabaki imeshikiliwa kwa siku 21 ambapo wewe unaweza kudai refund kwa chochote kitakachotokea.
So paypal ni safe sana kwa malipo ya mtandaoni.
Ila sasa kwa wanaofanya biashara na kupokea malipo, paypal kwakweli siyo safe maana wana tendency ya kumpendelea mlipaji.
 
Back
Top Bottom