Msaada kuhusu kurudia somo moja

Msaada kuhusu kurudia somo moja

Inaruhusiwa kabisa. Ipo hivi kwa anayerudia mtihani yaani second sitting or more than anaruhusiwa kusajili somo moja na kuendelea ila kama first sitting student hususan wale wa QT (mtihani wa maarifa) wanaruhusiwa kusajili masomo manne mwisho 10.

Relax kijana mwezi January nenda kituo unachotaka kufanyia mtihani omba reference number utapewa bure kisha nenda nayo katengeneze control number kwa ajili ya malipo yako. Ukilipia rudi cafe endelea na usajili wako sasa wa masomo huku ukiwa na passport size moja iwe scanned kisha utaupload.

mtoa mada fata huu muongozo na huu ndo naked truth.👍
 
Iv unaweza kusoma somo moja la advance na kuwekewa kweny chet ambalo mwanzon ulikuwa husomi, au?
Mfano. Mwanzon ulikuwa unasoma HKL , ILA Ukatak kubalusha usome somo moja la G , ili combination mpya iwe HGK, Mwenye kufahamu naomba mwongozo,
 
Back
Top Bottom