bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
Habarini?
Hivi majuzi nilipigiwa simu na watoa huduma kwa wateja kwamba, kutokana na Maagizo waliyopewa na BOT. Wamelazimika kupunguza kiwango changu cha matumizi yaani kutuma na kutoa hela kwenye simu kwa laini isiyo ya uwakala kutoka 20M mpaka 5M kwa siku.
Nikastaajabu sana kwanini wamenishusha hivyo. Majibu waliyonipa walisema sheria mpya toka BOT.
Nimeuliza wadau wanaotumia bank mbalimbali piia nao wanasema hawezi kutoa/kutuma hela zaidi ya 5M kwa njia ya sim bank, au kawaida mpaka aende bank ajaze deposit/withdraw slip ndiposa afanye miamala.
SWALI: Kwanini BOT wameamua kufanya hivi. Hawaoni wanapunguza mzunguko wa hela mtaani?
Msaada kunielewesha hili.