mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,309
- 942
Habari za asubuhi wadau nilikuwa nahitaji kununua Smart Tv ya TCL inchi 32, Sasa nilitaka kufahamu Tv yeyote ya TCL naweza kuinganisha na simu yangu nikawa naangalia vitu kutoka kwenye internet mfano website za mpira, Youtube,na bei yake pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app