Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
Inategemea na model mkuu, kabla ya kununua model husika search google kwa specs zake.Chief-Mkwawa ivi tcl 32 inches unaweza play *265(hevc) 8/10bit formats?!
Pia smart tv unaweza download video player hata kama haikubali native ukatumia software rendering kuipa tv support. Sema njia hii ina apply kwa video zako ulizodwnload ama unazoplay kutumia flash etc. Ikitokea una stream kitu kama mpira kwenye app na tv yako natively haikubali x265 haitakubali. Hivyo ni vyema kuhakikisha tv ina x265.