TV4Sale Tunauza Smart TV used kutoka Uingereza

mbacho massawe

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
235
213
Umepanga kununua Tv na pesa ni kidogo? Usiteseke Infopreneur anauza Smart Tv used from UK Kwa bei poa sana. Jambo bora zaidi ni kwamba Tv zangu Zinakuja na warranty pia ni Original. All you have to do ni kuchagua inch ngapi unapenda na kunicheck messenger au Whatsapp Kwa namba 0742645242.

Smart TV inches 65 ........................... 1, 450, 000
Smart TV inches 55 ............................1, 250, 000
Smart TV inches 50 ............................ 680, 000
Inches 46/47/smart ............................. 680, 000
Inches 43/42/smart ............................ 660, 000
Inches 40 smart ............................ 600, 000
Inches 32 smart ............................. 400, 000

Brand za Tv zilizopo ni Samsung na LG Kwa sasa. Tunapatikana zanzibar Kwa Mchina Mwanzo. Daresalam na mikoani Tunatuma Kwa njia ya posta Kwa usalama mkubwa. Usafiri ni juu yangu Kwa njia ya posta Ili kuhakikisha usalama wa mali Yako.

MUHIMU
Kama utachukulia zanzibar na kusafirisha wenyewe Bei itapungua sana. Maana kutoa kitu zanzibar kuleta dar na Maeneo mengine ni garama sana. Tv Moja kutoka zanzibar kuleta dar TRA Wana kata Kodi Kila inch Tsh 1000. Kwahivyo Kwa Tv inch 55×1000 = 55000 italipiwa Bei hiyo.

Pia kwenye meli lazima Mzigo ilipiwe Hata kama unasafiri nao mwenyewe. Hivyo vyombo vinavyo husika na kusafirisha watu na mizigo kama azam marine hawasafirishi mizigo kama Tv na simu kutokana na kuhofia kulipa garama kubwa mzigo unapopasuka. Hivyo mizigo hii unamtafuta agent.

Pia pale bandarini zanzibar lazima ilipiwe nauli na Kodi ya bandari ambapo garama zake ni ndogo kulinganisha na daresalam Kwa zanzibar itagarimu pesa kama elfu kumi na Tano mpaka20. (Kodi + nauli) ndani ya meli.

Pia kusafirisha mzigo Kwa njia ya maji usalama ni mdogo.
Kwa ndege usafiri ni kama hivi
5- 10 kg ................ Tsh 49,950
10- 15kg .............. Tsh 69,550
15- 20 kg ............. Tsh 89, 000
20 - 30 kg ............. Tsh 100, 500

Karibuni sana!

View attachment 2669276View attachment 2669277View attachment 2669278View attachment 2669279View attachment 2669280View attachment 2669281View attachment 2669282View attachment 2669283View attachment 2669284
 
Je hizi TV ziko tayari hapa nchini?
Kama jibu ni ndio; Je ni wapi naweza fika kukagua na kufanya manunuzi?
Tv zipo mkuu nchi 65 na 48 zimeisha. Tunangoja contena litoke bandarini. Duka letu lipo zanzibar Kwa Mchina Mwanzo karibu sana mkuu.
 
Kwenye bei Hapo jitathmini kwanza
Kama utachukulia zanzibar Bei itapungua sana. Maana kutoa kitu zanzibar kuleta dar na Maeneo mengine ni garama. Tv Moja kutoka zanzibar kuleta dar TRA Wana kata Kodi Kila inch Tsh 1000.

Pia kwenye meli lazima ilipiwe nauli na Kodi ya bandari ofage kama elfu Tano. Kwa garama zote kwa zanzibar haizidi elfu 20 pia ni pungufu ya hapo kama sikosei ( Kodi + nauli).

Pia kusafirisha Kwa njia ya maji usalama ni mdogo.

Kwa ndege usafiri ni kama hivi
5- 10 kg nauli 49950
10- 15 kg nauli ni 69550
15- 20 kg nauli ni 89000
20 - 30 kg nauli ni 10500
 
Zanzibar?

Ah wap. Huko mpka niamini sio jambo dogo kbsa.

Nlikosa kosa kupigwa milioni yangu na vijamaa vya zenji nkastuka dakika ya mwisho.

Uzi umeleta, hujaambatanisha na li foto tuone kama yaliyomo yamo.

Kula mtu akae mguu upande..
Tayari nimeweka picha mkuu. Kama upo dar unaweza kufika dukani kwetu
 
Zanzibar?

Ah wap. Huko mpka niamini sio jambo dogo kbsa.

Nlikosa kosa kupigwa milioni yangu na vijamaa vya zenji nkastuka dakika ya mwisho.

Uzi umeleta, hujaambatanisha na li foto tuone kama yaliyomo yamo.

Kula mtu akae mguu upande..
Watu wengi mitandaoni wanaotaja kuuza bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar huwa wanakosa kuaminika kutokana na wimbi kubwa la matapeli kutumia matangazo ya biashara kutoka Zanzibar.

Ingefaa zaidi wangekuwa na branch Dar ili iwe rahisi kwa watu kwenda moja kwa moja ofisini ambao wanahofu ya kutapeliwa.
 
Watu wengi mitandaoni wanaotaja kuuza bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar huwa wanakosa kuaminika kutokana na wimbi kubwa la matapeli kutumia matangazo ya biashara kutoka Zanzibar.

Ingefaa zaidi wangekuwa na branch Dar ili iwe rahisi kwa watu kwenda moja kwa moja ofisini ambao wanahofu ya kutapeliwa.
Unaweza pia kufika dukani kwetu zanzibar. Pia kama una ndugu au mwenyeji anaweza kumwagiza akakununulia na akakutumia. Ukichukua Kwa zanzibar dukani Bei inapungua mnoo.
 
Zanzibar?

Ah wap. Huko mpka niamini sio jambo dogo kbsa.

Nlikosa kosa kupigwa milioni yangu na vijamaa vya zenji nkastuka dakika ya mwisho.

Uzi umeleta, hujaambatanisha na li foto tuone kama yaliyomo yamo.

Kula mtu akae mguu upande..
Massawe kaona fursa.
 
Back
Top Bottom