Msaada kuhusu kuhusu Smart Tv (TCL)

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,439
2,000
Habari za asubuhi wadau nilikuwa nahitaji kununua smart tv ya tcl inchi 32 sasa nilitaka kufahamu tv yeyote ya tcl naweza kuinganisha na simu yangu nikawa naangalia vitu kutoka kwenye internet mfano website za mpira,youtube,na bei yake piah

Sent using Jamii Forums mobile app
TCL nyingi zina support T-CAST. Utaweza kuunganisha na simu yako bila shida.
 

JOAQUEM

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,957
2,000
TCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Ninayo TCL smart tv S32S6200 nikiwasha hotsport kwenye simu haidetect kabisa tatizo inaweza kuwa nini??

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,412
2,000
TCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Mkuu Kama yangu hiyo balozu wake Neymar Jr
 

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,458
2,000
Unavyosema roku tv unamahanisha nini kwenye izo tcl tv mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
zinakuwa kama na application (standalone) ambayo inaitwa roku inayokuwezesha ku stream channel karibu 2500
inakuwa na vitu kama WatchESPN Netflix n.k
ukitofautisha na hii yangu ina linux os ram 750mb internal storage 4gb yenyewe haina vitu vingi sana ila netflix,youtube vipo pia store ipo kwa ajili ya kudownload apps kwa mimi inanitosha
 

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,458
2,000
Hizi roku kupata bongo ni kitendawili

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Zipo mkuu sema price kidogo ndo ipo juu ukiwa na almost 900k unapat
hata ukiwa na 600k unapata naona kwa sasa zipo kwenye punguzo beichee
Capture.PNG


Capture.PNG
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom