Msaada kuhusu kuhusu Smart Tv (TCL)

Msaada kuhusu kuhusu Smart Tv (TCL)

Hongera mkuu, kuna mdau kasema chomeka antenna tu kisha set kwenye tv uanze ku search channels
Asante mkuu,sioni sehemu ya tv au ndo ilo neno(ATV)???
20190413_191115.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zinakuwa kama na application (standalone) ambayo inaitwa roku inayokuwezesha ku stream channel karibu 2500
inakuwa na vitu kama WatchESPN Netflix n.k
ukitofautisha na hii yangu ina linux os ram 750mb internal storage 4gb yenyewe haina vitu vingi sana ila netflix,youtube vipo pia store ipo kwa ajili ya kudownload apps kwa mimi inanitosha
Mie ninayo inch 40 naona mwanangu uwa anaunganishaga na youtube pia facebook sijawahi kutake trouble kufuatilia kwa kuwa nakosaga muda. Ngoja nicheki manual yake nione ina vitu gani kati ya vilivyoongelewa humu maana mie nilinunua zile smart zao za kwanza wakati ndio wanaingia soko la TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii Netflix ni kitu gani hasa? Ninaiona kwenye tv yangu hapa, LG smart tv.
 
Mie ninayo inch 40 naona mwanangu uwa anaunganishaga na youtube pia facebook sijawahi kutake trouble kufuatilia kwa kuwa nakosaga muda. Ngoja nicheki manual yake nione ina vitu gani kati ya vilivyoongelewa humu maana mie nilinunua zile smart zao za kwanza wakati ndio wanaingia soko la TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona zitakuwa hazina tofauti na hii yangu sema yanu inch 32
 
Wadau iv ni kweli vioo vya tcl smart tv upatikaji wake ni shida ? Kuna yule manzi anajiita jaden ukienda insta naona bei za tv zake ni mpderate
 
Wana ofisi hapa Tanzania hivyo sidhani kama zinasumbua vifaa zikiharibika, ila kuwa makini kama itakuwa ni tv ambayo hawajaileta wap wenyewe unaweza ukakosa.
 
Hivi Mkuu kuchukua TCL smart ya model ya 6500 ya Android na kuchukua samsung yeyote ya Led sio smart bora nini Mkuu TCL hiyo kwa 450,000 na Samsung 450,000.Ahsanteh
 
Model mpya nyingi ni smart, unless hio samsung ina kitu special kama Hdr ama full hd ama tech yoyote ya kisasa ndio uchukue, ila kama ni hizi za kawaida za 720p bora uchukue TCL.
 
Na vipi kwa mikoani Ntapata Local channel kwa built in decoder inayopatikana kwenye hii TV mkuu? TCL
 
LED32S6500 ndio ina details nyingi online hii LED32S6500S sijaona ushahidi ina dvb t
Sawa nawezaje fanya ili niisuport iwe na local channel ukiacha hivi visimbusi.
Pia kwa 450,000

Unashauri nichukue hiyo smart au nichukue LED tupu kwa 330,000 LED 32D3000.
 
Labda ununue FTA receiver na Dish.

Na angalia mwenyewe unataka smart tv ama hutaki. Hii 6500 smart tv yake ni nzuri inaworth zaidi ya laki 1, quad core cortex A53, 8GB storage na certified Android TV.
 
Back
Top Bottom