Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,773
- 2,160
Hapa pananihusu
Hapana ni utaratibu wa kisheria Deed poll inakuwa kama certificate ndio maana lazima Iwe registered na serikaliSamahani kidogo naomba kujuzwa zaidi, je kama ni muajiriwa serikalini ukibadilisha majina haitaweka matatani ajira yangu baada ya kuanza kutumia jina jipya?
Pili inawezekana kubadilisha majina yote matatu na isilete shida?