Brakelyn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,181
- 521
download speed inacheza kati ya 60KBps - 150KBps which is fair for a 500/= 24hr package..Bado haisaidii kuongeza speed hizo vpn client zina bypass restriction zilizowekwa tu kwenye hizo site ulizotaja lakini tukija kwenye jambo muhimu la speed hamna kitu. Hivi virushi mi nikiweka natumia ku-surf tu. BTW vpn clnt nyingine kwa wale youtubers ni SPOTFLUX kwa wale wanaotaka ku stream kwa mwendo wa kobe.