Msaada kuhusu kifurushi cha internet 24hrs -tigo

Msaada kuhusu kifurushi cha internet 24hrs -tigo

Kwa sasa nikiwa Dar natumia SMILE, mwisho wa matatizo so far, hope they'll keep up the current pace.

Hawa jamaa wanafaa kwa wafanyabiashara sababu line ni 24000 na ina 2 gb .1 gb ni sh 17500,na wanasifia unamaliza 1 kwa dk 5 kutokana na spid .mie naona ghari kidogo
 
Screen Shot 2014-03-24 at 1.04.44 AM.png

Mmmh huku pazito.
 
hicho cha 500 ni unlimited browsing, lakini for streaming and downloading they offer only 50mbs....
ukijiunga utakatwa daily...mpaka tume neon STOP kwenda 15666
 
''Ndugu mteja tunafurahi kukufahamisha kuwa kuanzia tar 26 Machi, utaanza kutumia vifurushi vya Internet Megaboksi vilivyoboreshwa na kukupa zaidi.Tigo''

Tutarajie nini kipya?
 
Back
Top Bottom