Msaada kuhusu Huawei Smartphone !!!

Msaada kuhusu Huawei Smartphone !!!

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
61,440
Reaction score
74,054
Salam wanabodi wa jukwaa la Teknolojia.
Kuna jamaa yangu mmoja ameniambia kuwa kipindi cha nyuma alikuwa na smartphone tajwa hapo juu na ilikuwa na baadhi ya haya mambo:-

1. Mtu anapompigia simu huwa inamwambia sehemu aliyopo(Kijiji,Mji na Mnara wa simu anaotumia)

2. Hata nae akimpigia mtu inaandika kwenye screen kuwa mtu huyo yupo mfano Morogoro na mnara wa simu ulipo kama Msamvu.

Baada ya kuniambia hivyo nilimuuliza ni aina gani ya simu akanambia Huawei ugumu ulipokuja nilitaka anitajia ipi kati ya hizo huawei lakini ikawa ngumu.

Sasa lengo la kuleta thread ni ikiwa kuna mtu ambaye amewahi tumia simu ya namna hiyo ni Huawei ngapi? Yaani mfano Nokia Lumia 520 n.k
 
Kusema kweli kakupiga kamba sana inachoweza fanaya labda kuonesha tu kwamba hii simu ni ya kenya au tanzania au nchi nyingini.

Haya madud itayapata kuanzia simu zenye version 4.0.1 na kuendelea.
 
sasa ni kweli naweza kujua mtu ninayempigia au anayenipigia yupo wapi?
 
Kusema kweli kakupiga kamba sana inachoweza fanaya labda kuonesha tu kwamba hii simu ni ya kenya au tanzania au nchi nyingini.

Haya madud itayapata kuanzia simu zenye version 4.0.1 na kuendelea.

kwanini awe amempiga kamba MKUU kwani hiyo kitu haiwezekani??

mim natumia huawei ninachokifaham ni kuwa mtu akikupigia hata kama NAMBA yake sijaisave inanipa mpaka jina lake??

yaani inatokea NAMBA yake na jina lake.
so inategemeana kuna namna unaweza seti labda.
au kuna application ukiinstall inakupa hayo mambo.
 
hiyo sio simu ni application inaitwa true caller ndiyo inakupa jina la namba hata kama hujalisave na si kwa namba zote muda mwingne haikupi jina na si kila jina inalo kupa ni sahihi majina mengne yanakuwa si sahihi.
 
Shukrani kwa michango mizuri sana naamini kupitia thread hii huenda kwaujumla wetu sote tukaelimika vizuri na ikiwa hiyo simu ipo!
 
kwanini awe amempiga kamba MKUU kwani hiyo kitu haiwezekani??

mim natumia huawei ninachokifaham ni kuwa mtu akikupigia hata kama NAMBA yake sijaisave inanipa mpaka jina lake??

yaani inatokea NAMBA yake na jina lake.
so inategemeana kuna namna unaweza seti labda.
au kuna application ukiinstall inakupa hayo mambo.

ukiona hivo huyo mtu ni rafiki wako wa social network na hio namba yake ametumia kuregister account.

mfano mtu ana acount ya fb halafu kaverify namba yake na wewe huyo mtu ni rafiki yako fb kisha umeinstall app ya fb na kutick sync contact hata akikupigia na namba yake hujasave litatokea jina.

ila hakuna maajabu kwenye simu kwamba mtu from no where akupigie tu litoke jina. kila kitu kina explanation.
 
kwanini awe amempiga kamba MKUU kwani hiyo kitu haiwezekani??

mim natumia huawei ninachokifaham ni kuwa mtu akikupigia hata kama NAMBA yake sijaisave inanipa mpaka jina lake??

yaani inatokea NAMBA yake na jina lake.
so inategemeana kuna namna unaweza seti labda.
au kuna application ukiinstall inakupa hayo mambo.

Kama haujui omba msaada! Pia kama hujaelewa swali usijibu! Hiyo apk naijua sana tu, ila hakuuliza kuhusu apk ya namna iyo, bali simu inauwezo uo!
 
kaka haya mambo ya kujua location yapo karibu simu zote inaitwa CELL INFO DISPLAY hata kwenye nokia za tochi na visimu vidogo vipo. sometime linapita jina la mtaa wa mnara kwenye kioo. hii inakuwa kwenye simu yako.

unachouliza wewe ni jinsi ya kujua cell info display ya unaempigia, hilo sjawahi kuskia na sidhani kama inawezekana bila ya ruhusa ya mtandao husika.

sababu huawei ni expert wa network huenda ikawa si simu ya kawaida labda ni za ma expert tu.
 
Back
Top Bottom